Utalii. wawekezaji ni wazungu na wazungu wanatabia za kwenda kupata huduma sehemu za wazungu wenzie, Nyinyi mmebaki kuwa wapagazi na kuwaimbia Happy birthday wazungu wakila kike na kufurahi.dar kuna harakati za panya road tu...
njoo arusha upewe harakati za pesa ndefu..kuna ishu za madini na utalii pesa yake sio kama hizo harakati za udadali hapo dasalamu
Kwa mm ningekushut makalion huku nachekaPoa kamanda.. DSM ni kila kitu Tanzania, ni wewe ku tune frequency zako mahala sahihi, unabutua.
Mpiga chuma mkuu anajukulina na anae cheza na saikolojia yako anajulikana. Kuna watu wapuuzi sana
Ueledi anauvaa kwenye majumba na mandinga. [emoji1787]Ukishindwa kuja Dar jiandae kushindwa watu wanashangaa kumuona Martin Kadinda!
Mkuu mikoani ikifika saa mbili watu wote wanaenda Majumbani kwao kingine mikoani miji ni midogo kila siku unakwa upo sehemu moja inachosha unakuwa kama mtoto changa kila siku upo nyumbani siku akitoka kwenda clinic na kurudi nyumbani, sasa kijana aliyezoea dar uwanja mpana unakula kwa urefu wa kamba yako, si unaona Serikal imeamia Dodoma lakini kila Ijumaa watu wapo dar na V8We kama mimi [emoji1787]
Mimi nimeipenda Mwanza, kuna mikoa ni mizuri tu.. ila sisi tumakariri Dar.
Ila mdogo wangu Dar humtoi, tumepigizana kelele wakati wa confirmation za chuo mpaka Ardhi yake imeshinda
Anakwambia sasa mimi naanzaje kuishi mkoani.
Utakuwa wa kishuaDar imekuwa overrated kinyama
Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Serikali imeacha familia Dar ndio maana wanarudi sana…Mkuu mikoani ikifika saa mbili watu wote wanaenda Majumbani kwao kingine mikoani miji ni midogo kila siku unakwa upo sehemu moja inachosha unakuwa kama mtoto changa kila siku upo nyumbani siku akitoka kwenda clinic na kurudi nyumbani, sasa kijana aliyezoea dar uwanja mpana unakula kwa urefu wa kamba yako, si unaona Serikal imeamia Dodoma lakini kila Ijumaa watu wapo dar na V8
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Pesa za hivyo ni za WIZI na nyingi zinatokana na upigaji kwenye vyanzo vya pesa za serikali a.k.a kulamba asali.Geneva my foot...yani DSM ukisuka mipango yako vizuri milioni 50 hizi hapa unazichungulia issue ni kukutana na watu sahihi kwenye harakati zako...unajua watu wa DSM wanaweza kukupa hata ramani za kutoka ila huko mikoani watu wanakunja sana...😂😂😂
Mikoani hakuna huduma masaa 24hr, huwezi ukaamka saa nane usiku ukaenda kununua dawa, kinga, hata chakula, uko Arusha itabidi uende umbali mrefu kuvipata hivyo vitu na una weza husivipate na uko mikoani Huwezi kuamka saa 5 alfajiri ukapata soupo au chai kama unawai sehemu una njaa itabidi usubiri mpaka saa mbili maduka yafunguliwe ni tofauti na dar ukiitaji kitu kinapatikana kwa wepesi.Serikali imeacha familia Dar ndio maana wanarudi sana…
Mkoa gani huo watu wanaenda nyumbani saa 2? Niko mkoani lkn nyumbani naendaga hata saa 10 alfajiri [emoji1787]
Basi tuseme na sisi wengine tuna sababu zinazopelekea Dar tupaone kawaida..
mm binafsi, lile jua linavyowaka + mafoleni mimi kwa kweli Dar nakuja Kupenzika na kusalimia [emoji119]
Mwaka 2001 moja ya mstari wa Prof Jay katika wimbo wake wa Bongo Dar es Salaam alisema;Sio kweli bila jitihada na kujiongeza hutoboi, ukiwa mtu wa jitihada na kujiongeza unazipata hizo connection
Yeye akishatishia maisha ya mwenzake analindwa na sheria gani?!mkuu mm sina mguu wa kuku ila kwa tahadhari tu nakuonya usifanye mzaha na mtu akiwa na silaha..utakufa kizembe
turudi kwenye mada...
Kwa mfano hapo Sinza na K/ndoni vijana wanajichanganya na mapedeshee wanapiga deal haramu wakipata pesa chafu inatakatishwa kwa kuwekeza kwenye biashara halaliUkijichanganya vizuri na watu Dar kuna pesa nyingi sana.
Nikija mjini nikutafuteKaribu mjini