Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Dar ukiwa na laki Moja unaanza safari yako ya Umillionaire
 
Kila la kheri mkuu. Ila jaribu kufocus kwenye vitu vingine pia mkuu you never know unaweza pata sehemu ukawa comfortable zaidi huku ukijipatia kipato chako. Ajira zenyewe Masimango kibao
Ni kweli ndugu yangu, kikubwa tupo hai tu, na wenzetu ambao mmeshakaa kwenye mstari pale mnapotu-motivate jitahidi kutuonesha njia za michongo, motivation speeches nyingi zinekaa katika mtindo wa masimango na show-offs kitu ambacho akimsaidii hustler zaidi ya kuzidi kum-confuse tu
 
Muongo
Bqsi it depends na wapi unaishi..

Quas pharmacy AIM mall wako 24/7 .. Majengo watakuwa served na Sakina pia..

Njiro quas pia iko. 24/7 tunapata huduma

Usiongee usilolijua

Mabaa yanafanya kazi, why hizo supu zikosekane? Sina jibu hapo sababu mimi sifikagi sehemu hizo
 
Wenzetu waliofanikiwa watatupa michongo ni swala la muda tu.
 
Dar imekuwa overrated kinyama

Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Tembelea at least mikoa 10 tofauti na Dar Kisha rudi Dar I am telling you uta-bust kwa hasira
  • Arusha - Longido, Monduli, Ngorongoro, Meru, Karatu & Arumeru
  • Mwanza - Ukerewe, Magu, Sengerema, Misungwi, Kwimba, Ukerewe, Nyamaganga & Ilemela
  • Tabora - Igunga, Nzega, Sikonge,Urambo & Uyui
  • Kigoma - Kasulu, Buhigwe, Kakonko, & Uvinza
  • Tanga - Bumbuli, Handeni, Korogwe & Lushoto
  • Moshi - Kilimanjaro
  • Geita - Bukombe & Chato
  • Bukoba - Kagera, Biharamuro, Karagwe, Ngara, Misenyi & Kyerwa
  • Morogoro - Gairo, Kilombero-Ifakara, Kilosa, Mvomero, Malinyi, Ulanga
  • Mbeya - Chunya, Kyela, Mbalali & Mbeya Mjini
  • Iringa - Kilolo, Mafinga & Mufindi
  • Mtwara - Masasi, Mikindani, Newala & Tandahimba
  • Rukwa - Sumbawanga, Kalambo & Nkasi
  • Katavi - Mpanda, Nsimbo & Mlele
  • Ruvuma - Songea, Madaba, Mbinga, Nantumbo, Nyasa & Tunduru
  • Dodoma - Chamwino, Chemba, Kongwa, Kondoa, Bahi & Mpwapwa
  • Pwani - Kibaha, Bagamoyo, Kibiti, Kisarawe, Mafia, Mkuranga, Rufiji & Chalinze
  • Njombe - Rudewa, Makambako & Wang'ingombe
  • Lindi - Kilwa, Ruangwa, Nachingwea & Mtama
  • Bariadi - Simiyu
  • Shinyanga - Kahama, Kishapu, Msalala & Ushetu
  • Songwe - Vwawa
  • Mara - Musoma, Bunda, Rorya, Serengeti, Tarime & Butiama
  • Manyara - Babati, Hanang, Kiteto, Simanjiro & Mbulu
  • Pemba Kasikazini - Wete
  • Pemba Kusini - Chake Chake
  • Unguja Kasikazini - Kikokotoni
  • Unguja Kusini - Koani
  • Unguja Mjini Magharibi
Chagua hapo mikoa 10 tu kati ya hio iliyopo kwenye orodha kisha kaitembelee kwa ziara mkoa mmoja mmoja kisha ukimaliza rudi Dar-Es-Salaam alafu fanya tathmini zako utagundua kitu anza tena tembea sasa anzia Ubungo, Kinondoni, Ilala, Temeke mwisho nenda kapande pantoni mpaka Kigamboni...

Ukimaliza hapo fanya tathmini yako tena utapata jibu..

Umezaliwa Manzese umekulia Manzese umesoma Manzese umeanza kazi Manzese hili ndio tatizo hautembei hauwezi kuona kipi ni kipya na kipi ni cha zamani..
 
Mkuu umemaliza
 
Umezaliwa Manzese umekulia Manzese umesoma Manzese umeanza kazi Manzese hili ndio tatizo hautembei hauwezi kuona kipi ni kipya na kipi ni cha zamani.


ndg usitutishe, sisi wengine tumezunguka sana hii nchi. tumefanya sana utalii wa ndani, tumefika mikoa mbalimbali na wilaya zake. binafsi nimeyaona mazuri na mabaya ya sehemu mbalimbali za tz. huna la kunidanganya.

kuna wakati mpaka najihisi mimi ni vasco da gama wa tanzania

pamoja na kuizunguka nchi kote huko, bado hunielezi kitu kuhusu dar es salaam. dar iheshimiwe.

tazama hapa picha za google map uone timeline yangu ya kuizunguka tz.
 
Umechanganya mafaili mkuu nilikua namjibu huyu 👇😬😬😬 angalia mbele kuna shimo hapo👉🏾🕳️👇🥴
Dar imekuwa overrated kinyama

Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
 
Kwa maneno machache tuu "Dar ndo kila kitu kwa hapa Tanzania"
 
Je, umewekeza kitegauchumi Dar?
Umegoma kujenga mkoani, je umejenga Dar?
Kuwa makini na "time" Mkuu.
Kuna walala njaa wengi Dsm kama ilivyo wachache wanaolala njaa mikoani.
Kuna mamilionea wengi Dsm kama ilivyo mikoani. "Maisha popote".
 
Naona mnajidanganya. Uwe unataka kwamba kwenye mji Fulani, ilikika saa mbili maduka yote na migahawa yote na pharmacy zote vinafungwa. Ukisema mkoani nami nipo mkoani na Kuna migahawa ipo open masaa 24, Kuna pharmacy zinauza masaa 24 Mimi hapo sikuelewi.
 
Arusha mafala sana nina branch yangu ya biashara kule kila niiienda saa 2 mjini watu wameisha wamelala ubwege gan huo? Mkoa wa kifala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…