Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

😊😊 Kwa Tanzania DSM ni hub, mikoa mingine bado sana kwa DSM. DSM kama una connection na good character unafika mbali mitandao ya pesa ni mingi sana, ni ku tune frequency zako
Dar ukiwa na hustler mentality kutoboa ni rahisi sana lakin mtu anakuja dar kutwa kusambaza barua maofisin posta utachelewa sana
 
harakati gani zitaje...

hakuna biashara yoyote inayofanyika dar na arusha isiwepo...ndo mana nimesema labda harakati zinazohusu bahari
Sasa inavyoonekana unataka ligi haya harakati za uvuvi basi...
 
Kuna mdogo wangu baada ya kumaliza chuo aling'ang'ania huko hakutaka kabisa kurudi na akija nyumbani hataki kukaa sana anarudi dar
Pia kuna rafiki yangu tulimaliza nae o level hakuendelea akaingia dar akatoboa maisha fasta baadae akajichanganya akafanya uwekezaji mkubwa maeneo ya mbezi beach akatumia pesa yake nyingi na biashara haikumlipa kwa namna alivyotegemea akafilisika akambid arudi mkoani akaanza kulima bustani mpaka sasa ila bado huwa anafikiri kilimo kitamtoa na atarudi dar

Mimi dar kulinishinda kabisa,kwanza jasho na ghasia za madaladala kila siku zilinishinda

Namba 5 uko sahih kabisa kwa dar kupata viwalo ni raisi sana tena kwa bei nzur hata mbususu upo sahihi
 
Dsm ukiwa na harakati za pesa..unausafiri wako na kajumba kako..daah huwezi hama.

#MaendeleoHayanaChama
 
Geneva my foot...yani DSM ukisuka mipango yako vizuri milioni 50 hizi hapa unazichungulia issue ni kukutana na watu sahihi kwenye harakati zako...unajua watu wa DSM wanaweza kukupa hata ramani za kutoka ila huko mikoani watu wanakunja sana...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli nilipata demu Arusha nilikuwa namtoa pesa akawa anashangaa pesa yenyewe ndogo tu, akawa anasema vijana wa kwao Arusha kukupa 5000/= Ni ngumu wana roho ngumu kwenye kutoa akasema Dar unaweza kumuomba mtu pesa akakupa tofauti na kwa Arusha unaweza kuuwawa kwa ajili ya 5000 tu uliyokopeshwa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Dar imekuwa overrated kinyama

Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Yani jaribu kutoka Dar nenda mikoani utaona kama upo gerezani kwanza mikoani hakuna sehemu za kutembea yani miji yao ni midogo haija tanuka kingine mikoani wanawai kulala, Mimi niliendaga Zanzibar Yani ikifika saa 3 usiku huwez kupata huduma za wakala na maduka yanawai kufungwa Yani unguja unaweza ukalala na njaa pesa unayo, Tofauti na dar unaweza kuamka usiku wa saa saba ukaenda dukani kununua kitu unacho kiitaji au kumtumia mtu pesa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom