Kwani unahisi ni wangapi hapa Tanzania wana elimu zaidi ya Nikola Tesla
Lakini kikubwa walichofanya zaidi ya kujaza matumbo yao kwa rushwa tu!!!
UDSM, SUA ni baadhi ya vyuo vilivyofanya vumbuzi nyingi sana. Fuatilia utaonaHabari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Tofauti ya mzungu na mtu mweusi ni mindset zao. Mtu mweusi akishafanya kazi akapata hela ya kula na ya kujisitiri basi ameshamaliza. Mzungu anajiuliza maswali kama vile kwanini apple limedondoka, radi inatoka wapi? na maswali mengine ambayo mtu mweusi hana muda nayo. Ndo maana wazungu wanafanya gunduzi mbalimbali ambayo mwafrika hana muda nayo.Hoja yangu imeegemea zaidi upande wa gunduzi.
Engineer ni fani ya kusomea.
Wala haithibitishi kuwa mtu ana akili.
Bado hatujamalizana na umaskini.Tofauti ya mzungu na mtu mweusi ni mindset zao. Mtu mweusi akishafanya kazi akapata hela ya kula na ya kujisitiri basi ameshamaliza. Mzungu anajiuliza maswali kama vile kwanini apple limedondoka, radi inatoka wapi? na maswali mengine ambayo mtu mweusi hana muda nayo. Ndo maana wazungu wanafanya gunduzi mbalimbali ambayo mwafrika hana muda nayo.
Swali dogo nitajie nchi ya Afrika ambayo inafanya research za masuala ya anga? lakini angalia wenzetu kila siku wanaumiza vichwa kwaajili ya anga.
Hapana, Sijawahi kusikiaKuna wahubiri dini wanaokwenda China? Hii dunia ina siri sana
Kabla ya kutumia hizi dawa kulikuwa kuna dawa za mitishamba ila maendeleo Chemistry ilifanya kuweza ku extract ambacho kinapatikana kwenye mitishamba au kutengeneza equivalent kutoka maabara hio sio beberu wala ndama wala mbuzi bali ni muendelezo wa innovations kutoka generation mpaka generationWe unatibiwa na dawa kutoka kwa mabeberu
Kwahio ni upuuzi wa mtu mweusi au ni uroho wa viongozi wachache.., na misaada ya nini tukiacha kukipelekea kisiwa kama Uingereza chakula unadhani nani atakufa kwanza kwa kukosa basic needs ? Ndio hapo wewe kwa kuangalia sysmptons unalaumu symptoms badala ya kutafuta kosa / shida ni nini ili uweze kutibu root causes (Na fikra kama zako ukichangia na indoctrination na mental slavely ya tangia kipindi cha utumwa ndio inatumiwa na so called mabeberu kuendeleza Imperialism) au wakati viongozi wako wanauza mtaji wa nchi unashangilia sababu umeshajiaminisha kwamba sisi hatuwezi...Nchi zetu kwa asilimia kubwa zinaendeshwa na misaada kutoka kwa wenzetu,
Asilimia ngapi ya Magari hapa Tanzania au Africa kwa ujumla yanaagizwa kutoka Ulaya ? Pia kuanzia ancient times kumekuwa na different vehicles ndio hapo nakwambia ni mwendo wa kuboresha na inafika wakati kunakuwa na a breakthrough.., Mfano Steam engine, Internal Combustion n.k. ila vyote hivyo ni kwa kuchukua ideas za kilichopita na kuboresha wanaovuma leo huenda huko nyuma walikuwa hawapo..., na utengenezaji (Mass Production) wala haitegemei akili zako bali ni comperative advantages na economy of scale... There was a time wakati sisi huku tunatumia Punda au wengine ngamia pengine walikuwa wanatumia Farasi..., ila ilivyokuja kazi nzuri credit lazima wapewe pia waliokuja na theories mfano the knowledge of ideal gas laws ilisaidia sana katika utengenezaji wa Internal Combustion EngineMagari yanaagizwa kutoka Ulaya.
Aisee aliekuzidi amekuzidi.
Kilimo cha ndizi jamaicaWewe Bado unasoma agriculture of cocoa in Ghana, unategemea uwe na akili ?
Mi nahisi ishu sio Elimu bali ni akili.Ukitaka kutengeza Taifa la Wajinga wengi shusha kiwango na ubora wa Elimu
Wape Elimu chini ya kiwango..
Gunduzi zipi mrembo.UDSM, SUA ni baadhi ya vyuo vilivyofanya vumbuzi nyingi sana. Fuatilia utaona
Kwahiyo unahisi Mabeberu wasingekuja kututawala tungekuwa na maendeleo makubwa?Kabla ya kutumia hizi dawa kulikuwa kuna dawa za mitishamba ila maendeleo Chemistry ilifanya kuweza ku extract ambacho kinapatikana kwenye mitishamba au kutengeneza equivalent kutoka maabara hio sio beberu wala ndama wala mbuzi bali ni muendelezo wa innovations kutoka generation mpaka generation
If I have seen further than others is by standing on the shoulders of the Giants....
Na tukiongelea kuhusu tiba hivi unajua mtu mweusi (mtumwa) alikuwa instrumental kugundua chanjo ya smallpox ? (Onesimus)
Kwahio ni upuuzi wa mtu mweusi au ni uroho wa viongozi wachache.., na misaada ya nini tukiacha kukipelekea kisiwa kama Uingereza chakula unadhani nani atakufa kwanza kwa kukosa basic needs ? Ndio hapo wewe kwa kuangalia sysmptons unalaumu symptoms badala ya kutafuta kosa / shida ni nini ili uweze kutibu root causes (Na fikra kama zako ukichangia na indoctrination na mental slavely ya tangia kipindi cha utumwa ndio inatumiwa na so called mabeberu kuendeleza Imperialism) au wakati viongozi wako wanauza mtaji wa nchi unashangilia sababu umeshajiaminisha kwamba sisi hatuwezi...
Mentality Shift; From Self Reliance to Total Dependency
There has been a shift in our way of Thinking. We used to think we can became self reliant and do all what needs doing.., of-course nothing wrong with assistance here and there....; Now our mentality has changed and we think we can't do anything worthwhile without assistance of others. We should...www.jamiiforums.com
Asilimia ngapi ya Magari hapa Tanzania au Africa kwa ujumla yanaagizwa kutoka Ulaya ? Pia kuanzia ancient times kumekuwa na different vehicles ndio hapo nakwambia ni mwendo wa kuboresha na inafika wakati kunakuwa na a breakthrough.., Mfano Steam engine, Internal Combustion n.k. ila vyote hivyo ni kwa kuchukua ideas za kilichopita na kuboresha wanaovuma leo huenda huko nyuma walikuwa hawapo..., na utengenezaji (Mass Production) wala haitegemei akili zako bali ni comperative advantages na economy of scale... There was a time wakati sisi huku tunatumia Punda au wengine ngamia pengine walikuwa wanatumia Farasi..., ila ilivyokuja kazi nzuri credit lazima wapewe pia waliokuja na theories mfano the knowledge of ideal gas laws ilisaidia sana katika utengenezaji wa Internal Combustion Engine
If I have seen further than others, is by standing on the Shoulders of the Giants (Isaac Newton 1675)
Kwani wazungu hawajui ngono? Tena wao ndo wametamalaki kwenye hivo vitu kama ushoga. Shida nmwafrika hana time na maswali ya ajabu kama vile "kuna nini ndani ya miili yetu?"Sisi tunachojua ni ngono tu na kuongeza idadi ya watoto ambao hatuwezi kuwatunza!
Kwahiyo kukosa chakula ndo imetufanya tusiwe na akili ya kugundua chochote?Mtagundua nini wakati mna njaa ya chakula