Hivi Waafrika hatuna akili?

Hivi Waafrika hatuna akili?

Kwani unahisi ni wangapi hapa Tanzania wana elimu zaidi ya Nikola Tesla
Lakini kikubwa walichofanya zaidi ya kujaza matumbo yao kwa rushwa tu!!!

ndiyo narudi palepale huyo N.Tesla angehamia tanzagiza enzi hizo angeishia “kujaza tumbo kwa rushwa” pia, utaona Tesla kwao ni Serbia na kama angerudi Serbia siajabu asingefanya mengi aliyoyafanya, na wala leo hii tusingemjua, lkn alihamia Christian (western) Country (USA) ambako wanafwata meritocracy na huko akapata nafasi ya kung’aa, hivyo hata Einstein kama angezaliwa tanzagiza hakuna mtu angemjua leo hii angefifia na kupotea tu …
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
UDSM, SUA ni baadhi ya vyuo vilivyofanya vumbuzi nyingi sana. Fuatilia utaona
 
Hoja yangu imeegemea zaidi upande wa gunduzi.
Engineer ni fani ya kusomea.
Wala haithibitishi kuwa mtu ana akili.
Tofauti ya mzungu na mtu mweusi ni mindset zao. Mtu mweusi akishafanya kazi akapata hela ya kula na ya kujisitiri basi ameshamaliza. Mzungu anajiuliza maswali kama vile kwanini apple limedondoka, radi inatoka wapi? na maswali mengine ambayo mtu mweusi hana muda nayo. Ndo maana wazungu wanafanya gunduzi mbalimbali ambayo mwafrika hana muda nayo.

Swali dogo nitajie nchi ya Afrika ambayo inafanya research za masuala ya anga? lakini angalia wenzetu kila siku wanaumiza vichwa kwaajili ya anga.
 
Bado hatujamalizana na umaskini.
Kuhusu Research za Anga bado sana.

Maana kwa akili zetu hatuwezi kuunda hivo vifaa, Na kuvinunua ni bei.

Sasa kama Kuna vijijini shule Ni
10km. Utawazaje kutafiti masuala ya anga!!!!
 
We unatibiwa na dawa kutoka kwa mabeberu
Kabla ya kutumia hizi dawa kulikuwa kuna dawa za mitishamba ila maendeleo Chemistry ilifanya kuweza ku extract ambacho kinapatikana kwenye mitishamba au kutengeneza equivalent kutoka maabara hio sio beberu wala ndama wala mbuzi bali ni muendelezo wa innovations kutoka generation mpaka generation

If I have seen further than others is by standing on the shoulders of the Giants....

Na tukiongelea kuhusu tiba hivi unajua mtu mweusi (mtumwa) alikuwa instrumental kugundua chanjo ya smallpox ? (Onesimus)

Nchi zetu kwa asilimia kubwa zinaendeshwa na misaada kutoka kwa wenzetu,
Kwahio ni upuuzi wa mtu mweusi au ni uroho wa viongozi wachache.., na misaada ya nini tukiacha kukipelekea kisiwa kama Uingereza chakula unadhani nani atakufa kwanza kwa kukosa basic needs ? Ndio hapo wewe kwa kuangalia sysmptons unalaumu symptoms badala ya kutafuta kosa / shida ni nini ili uweze kutibu root causes (Na fikra kama zako ukichangia na indoctrination na mental slavely ya tangia kipindi cha utumwa ndio inatumiwa na so called mabeberu kuendeleza Imperialism) au wakati viongozi wako wanauza mtaji wa nchi unashangilia sababu umeshajiaminisha kwamba sisi hatuwezi...

Magari yanaagizwa kutoka Ulaya.
Aisee aliekuzidi amekuzidi.
Asilimia ngapi ya Magari hapa Tanzania au Africa kwa ujumla yanaagizwa kutoka Ulaya ? Pia kuanzia ancient times kumekuwa na different vehicles ndio hapo nakwambia ni mwendo wa kuboresha na inafika wakati kunakuwa na a breakthrough.., Mfano Steam engine, Internal Combustion n.k. ila vyote hivyo ni kwa kuchukua ideas za kilichopita na kuboresha wanaovuma leo huenda huko nyuma walikuwa hawapo..., na utengenezaji (Mass Production) wala haitegemei akili zako bali ni comperative advantages na economy of scale... There was a time wakati sisi huku tunatumia Punda au wengine ngamia pengine walikuwa wanatumia Farasi..., ila ilivyokuja kazi nzuri credit lazima wapewe pia waliokuja na theories mfano the knowledge of ideal gas laws ilisaidia sana katika utengenezaji wa Internal Combustion Engine

If I have seen further than others, is by standing on the Shoulders of the Giants (Isaac Newton 1675)
 
Ukitaka kutengeza Taifa la Wajinga wengi shusha kiwango na ubora wa Elimu

Wape Elimu chini ya kiwango..
Mi nahisi ishu sio Elimu bali ni akili.
Kumbuka gunduzi zote zilifanyika ndiposa zikawekwa kwenye maandishi.

Hiyo sio hoja kubwa Mkuu.
Lakini swali la kujiuliza au hawa wenzetu wana elimu yao ya siri ya teknolojia.

Ebu fikiria hata kifaa kidogo kama MEMORY CARD kimeundajwe undwaje mpaka ikawa na uwezo wa kutunza music etc.
 
Kabla ya kutumia hizi dawa kulikuwa kuna dawa za mitishamba ila maendeleo Chemistry ilifanya kuweza ku extract ambacho kinapatikana kwenye mitishamba au kutengeneza equivalent kutoka maabara hio sio beberu wala ndama wala mbuzi bali ni muendelezo wa innovations kutoka generation mpaka generation

If I have seen further than others is by standing on the shoulders of the Giants....

Na tukiongelea kuhusu tiba hivi unajua mtu mweusi (mtumwa) alikuwa instrumental kugundua chanjo ya smallpox ? (Onesimus)

Kwahio ni upuuzi wa mtu mweusi au ni uroho wa viongozi wachache.., na misaada ya nini tukiacha kukipelekea kisiwa kama Uingereza chakula unadhani nani atakufa kwanza kwa kukosa basic needs ? Ndio hapo wewe kwa kuangalia sysmptons unalaumu symptoms badala ya kutafuta kosa / shida ni nini ili uweze kutibu root causes (Na fikra kama zako ukichangia na indoctrination na mental slavely ya tangia kipindi cha utumwa ndio inatumiwa na so called mabeberu kuendeleza Imperialism) au wakati viongozi wako wanauza mtaji wa nchi unashangilia sababu umeshajiaminisha kwamba sisi hatuwezi...

Asilimia ngapi ya Magari hapa Tanzania au Africa kwa ujumla yanaagizwa kutoka Ulaya ? Pia kuanzia ancient times kumekuwa na different vehicles ndio hapo nakwambia ni mwendo wa kuboresha na inafika wakati kunakuwa na a breakthrough.., Mfano Steam engine, Internal Combustion n.k. ila vyote hivyo ni kwa kuchukua ideas za kilichopita na kuboresha wanaovuma leo huenda huko nyuma walikuwa hawapo..., na utengenezaji (Mass Production) wala haitegemei akili zako bali ni comperative advantages na economy of scale... There was a time wakati sisi huku tunatumia Punda au wengine ngamia pengine walikuwa wanatumia Farasi..., ila ilivyokuja kazi nzuri credit lazima wapewe pia waliokuja na theories mfano the knowledge of ideal gas laws ilisaidia sana katika utengenezaji wa Internal Combustion Engine

If I have seen further than others, is by standing on the Shoulders of the Giants (Isaac Newton 1675)
Kwahiyo unahisi Mabeberu wasingekuja kututawala tungekuwa na maendeleo makubwa?
 
Tulishindwa kuweka mambo yetu katika maandishi. Mf. Mtu anajua dawa fulani na inakuwa ni siri yake, hamfundishi mtu, anakufa na ujuzi wake ambao hakuweka katika maandishi. Tatizo jingine tunaamini pasipo kuelewa. Tumepuuza mila zetu na kuamini za wazungu, wazungu waliteka akili zetu ndio maana hatuna akili.
 
Back
Top Bottom