Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
- #81
Ndo kinachowafanya tusiwe na akili?Tatizo tumeingizwa kwenye mfumo wa dunia bila kutaka wala kuwa tayari hauwezi kufika kwenye 3 kama hujapitia 1 na 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kinachowafanya tusiwe na akili?Tatizo tumeingizwa kwenye mfumo wa dunia bila kutaka wala kuwa tayari hauwezi kufika kwenye 3 kama hujapitia 1 na 2
Hili swali ungemuuliza baba na mama yako kwanini hawana akiliHabari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Hapa nimekupata.Kwani wazungu hawajui ngono? Tena wao ndo wametamalaki kwenye hivo vitu kama ushoga. Shida nmwafrika hana time na maswali ya ajabu kama vile "kuna nini ndani ya miili yetu?"
We una akili gani Mkuu?Hili swali ungemuuliza baba na mama yako kwanini hawana akili
Tumeruka hatua za kujitafuta, kama binadamu akili zimedumaaNdo kinachowafanya tusiwe na akili?
Lazima ushibe kwanza ndio akili ifanye kaziKwahiyo kukosa chakula ndo imetufanya tusiwe na akili ya kugundua chochote?
😅Gunduzi zipi mrembo.
Au kuchanganya tangawizi na kitungu swaumu kipindi cha corona?
Nafurahi nikiona mtu anakubali udhaifu wetu kuwa hatuna akili.Tulishindwa kuweka mambo yetu katika maandishi. Mf. Mtu anajua dawa fulani na inakuwa ni siri yake, hamfundishi mtu, anakufa na ujuzi wake ambao hakuweka katika maandishi. Tatizo jingine tunaamini pasipo kuelewa. Tumepuuza mila zetu na kuamini za wazungu, wazungu waliteka akili zetu ndio maana hatuna akili.
Mi nahisi ukiwa na njaaa ndo akili inawaza sana namna ya kutatua changamoto.Lazima ushibe kwanza ndio akili ifanye kazi
Life sio Black or White na kuna so many happenstances.., huenda tungekuwa na maendeleo huenda tungechinjana huenda chochote kile kingetokea ila exploitation ya Africa imesababisha Africa kudumaa na miji kama Liverpool au Nchi kama Belgium kuendelea for that fact...Kwahiyo unahisi Mabeberu wasingekuja kututawala tungekuwa na maendeleo makubwa?
Acha ujinga unamjua mtublack race waafrica ni hasara kwa dunia
dunia ya leo haitaki watu sampuli ya waafrica
Madaktari wenye PHD waligundua tiba ya corona🤣🤣🤣
Hatutaki historia.rudi kafanye tafiti kuhusu ukuu wa mwafrika halafu tuletee mrejesho
We una akili gani Mkuu?Acha ujinga unamjua mtu
Kitu kinaitwa world Technology
Kimeanzishwa na nan? Ni mtu mweusi ukisha kuwa huna kitu in mind sio Kila mtu ni Empty mind
Kuajiri watu sio akili Mkuu.Wachangiaji wengi ni mbumbu sana
Kuhusu Race ya African
Hamjui kuwa kuna mtu anaitwa David steward
Ameajiri maelfu ya watu
Dangote Je
Achen story za vijiwen kwenye dunia ya technology
Unajua kwa sababu ww ni chupi sio Kila mtu ni chupi kama wwWe una akili gani Mkuu?
Utaajirije bila kuanzisha kitu?Kuajiri watu sio akili Mkuu.
Umeelewa mada kweli?