Hivi Waafrika hatuna akili?

Hivi Waafrika hatuna akili?

Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Hili swali ungemuuliza baba na mama yako kwanini hawana akili
 
Tulishindwa kuweka mambo yetu katika maandishi. Mf. Mtu anajua dawa fulani na inakuwa ni siri yake, hamfundishi mtu, anakufa na ujuzi wake ambao hakuweka katika maandishi. Tatizo jingine tunaamini pasipo kuelewa. Tumepuuza mila zetu na kuamini za wazungu, wazungu waliteka akili zetu ndio maana hatuna akili.
Nafurahi nikiona mtu anakubali udhaifu wetu kuwa hatuna akili.

Hapo umejibu vizuri.
Kwa Muafrika ni ubinafsi, ubinafsi, ubinafsi.
 
Kwahiyo unahisi Mabeberu wasingekuja kututawala tungekuwa na maendeleo makubwa?
Life sio Black or White na kuna so many happenstances.., huenda tungekuwa na maendeleo huenda tungechinjana huenda chochote kile kingetokea ila exploitation ya Africa imesababisha Africa kudumaa na miji kama Liverpool au Nchi kama Belgium kuendelea for that fact...

Ila kama dunia nzima na watu as species wote tukiungana na kuchukua mazuri toka pande zote kwa ajili ya kupambana na mazingira yetu kama binadamu.., basi binadamu kwa ujumla tutaendelea zaidi kuliko tulivyoendelea sasa hivi..., Case in Point mfano NATO ambaye ni USA pia kwa kuwashinikiza wenzake na kuwashauri kwamba waache kutumia Gas kutoka Russia hivyo kutumia gharama zaidi kwa alterntive ni upuuzi wa kujipiga mwenyewe risasi..., (Sasa hivi hata Ujerumani imeshuka sana katika industrilization na nchi kama China inauza magari yake sana Ulaya kuliko ulaya wenyewe) hadi wanakuja na story za tariff...

Mfano vita vya Dunia viliathiri sana Ulaya.., Kuchukuliwa kwa Creme de la Creme ya Waafrica kama watumwa viliathiri sana Africa... Ila kwa jicho la Globalist kama mimi yote hayo yameleta athari sana kwa dunia nzima katika upigaji wa hatua (Na upuuzi anaofanya sasa hivi Israel huenda ndio ukatengeneza magaidi wa keshokutwa)

Nachotaka kusema kinachofanyika leo ndio determinant ya kesho...
 
Back
Top Bottom