Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
- #241
Ujumla.Sijasema kama nina high IQ kwani uzi unazungumzia IQ yangu au ya watu weusi kwa ujumla?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumla.Sijasema kama nina high IQ kwani uzi unazungumzia IQ yangu au ya watu weusi kwa ujumla?
🤣🤣🤣🤣Upo sahibi kabisa...waafrica ni wajinga sana. Tuna jamba jamba tuu humu duniani.
Mara mia ningezaliwa mbwa koko marekani lakini sio mwafrica
Marekani bila watu wa ulaya kuvamia hakuna jipya lingetokea ni kama tu ulivyo uvamizi wa watu wa ulaya Afrika kusini ulivyoinufaisha nchi hiyoSiifananishi na nchi yeyote hapa Afrika ila wakati ugiriki inaisumbua dunia enzi hizo Marekani ilikuwa haijulikani lakini leo angalia marekani ilivyomuacha ugiriki kimaendeleo.
😁😁😁😁Tuna akili lakini ni WAJINGA PRO.
IleteYa dunia
Ugiriki ilitawala mataifa mengi ya Ulaya kipindi hicho lakini angalia ilivyoachwa mbali na wenzake wa EU. Hata ile dola ya kirumi imepotelea wapi?Marekani bila watu wa ulaya kuvamia hakuna jipya lingetokea ni kama tu ulivyo uvamizi wa watu wa ulaya Afrika kusini ulivyoinufaisha nchi hiyo
Ujinga unatokana na kukosa elimu nashauri serikali iweke mfumo wa elimu itakayoendana na dunia ya sasa.Tuna akili lakini ni WAJINGA PRO.
Kifafa(Epilepsy) ni hitilafu kwenye neurons za ubongo. Inapona kwa kufanya neurosurgery(upasuaji wa ubongo)Hii ya kurogwa ipo Mkuu.
Kuna ndugu yangu aliwahi kutupiwa kifafa Ila baada ya mtaalamu kufanya yake mambo yalienda sawa.
Mpaka sasa bado nawaza Ni technique gani ilitumika. (Around 2010).🤔
Waafrika tunaendekeza sana ngono, na haswa bongoland kwa ngono hii nchi imeshindikana. kingine kilichowaangusha waafrika ni kutokua na elimu yake yenyewe.Mataifa yote yaliotumia elimu yake mengi yameendelea na mengi hayakutawaliwa; kwa Africa ni Ethiopia tu ambao nao wana elimu yao kwa kutumia syllabi zao. Imagine, mwaafrika anajivunia kuongea kiingereza vizuri kushinda wenzake 😀 😀 😀Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Kwani hakuna Mwafrika ambaye sio mweusi?Bro unajifanya huwajui nigaz.
Ishu sio kuwatawala watu gani, je hata baada ya kuanguka wameopotea na kuwa choka mbaya hawatamaniki ? Au bado wapo katika level bora inaweza isiwe kama awali ila bora ambayo ukiambiwa wewe ukaishi huko uondoke huku Afrika hutosita.Ugiriki ilitawala mataifa mengi ya Ulaya kipindi hicho lakini angalia ilivyoachwa mbali na wenzake wa EU. Hata ile dola ya kirumi imepotelea wapi?
Kuna exception to the rule ndio maana kina Nikola au Isaac sio wengi na huenda Isaac angezaliwa sehemu ambapo wanaambiwa kwamba hawawezi na lazima wawatafute taifa fulani ili waweze huenda asingekuwa kama alivyo..., Au Pele angezaliwa States huenda angependa Basket na sio Mpira..., now with everything considered hio blank slate inategemea muandishi anaandika nini.., Mfano kizazi hiki kinavyoona kina Diamond wanatoboa ndio maana kuna wasanii wamekuwa wengi...,Kwamba kipindi cha utoto ulikuwa sawa na Isaac Newton au Nikola?
Kwani wazungu hawafagilii ngono? LGBQT+ Kaanzisha nani?Waafrika tunaendekeza sana ngono, na haswa bongoland kwa ngono hii nchi imeshindikana. kingine kilichowaangusha waafrika ni kutokua na elimu yake yenyewe.Mataifa yote yaliotumia elimu yake mengi yameendelea na mengi hayakutawaliwa; kwa Africa ni Ethiopia tu ambao nao wana elimu yao kwa kutumia syllabi zao. Imagine, mwaafrika anajivunia kuongea kiingereza vizuri kushinda wenzake 😀 😀 😀
Kama nilivyosema hapo awali maisha sio destination maisha ni journey na unachofanya leo ndio kita determine kesho yako..., mfano ukija Tanzania kuanzia miaka ishirini ijayo utakuta wazee ombaomba kila kona (Je kosa litakuwa na hao wazee au upuuzi uliofanyika leo wa sisi kama jamii )?Kwahiyo tunaishi kwa historia?
Soma vizuri nilivoandika na uelewe. ndio maana mnafeli mitihani ,Kenge wewe.Kwani wazungu hawafagilii ngono? LGBQT+ Kaanzisha nani?
Na sio kweli eti nchi ikiwa na elimu yake haitawaliwi China wana lugha yao, mavazi yao na tiba zao na bado walitawaliwa.
Ethiopia hakutawaliwa kwakuwa geographical location yake haifai na pia ushindi wa vita vya Adowa vilithibitisha umahiri wake. Google hapo utaona .
Soma historia utaona kuwa uwezo kuja nq kupotea ni kitu cha kawaidaHii sijawahi kuiamini.
Kwamba sasa uwezo wetu umepotea wapi?
ItafuteIlete