Hivi Waafrika hatuna akili?

Hivi Waafrika hatuna akili?

Siifananishi na nchi yeyote hapa Afrika ila wakati ugiriki inaisumbua dunia enzi hizo Marekani ilikuwa haijulikani lakini leo angalia marekani ilivyomuacha ugiriki kimaendeleo.
Marekani bila watu wa ulaya kuvamia hakuna jipya lingetokea ni kama tu ulivyo uvamizi wa watu wa ulaya Afrika kusini ulivyoinufaisha nchi hiyo
 
Marekani bila watu wa ulaya kuvamia hakuna jipya lingetokea ni kama tu ulivyo uvamizi wa watu wa ulaya Afrika kusini ulivyoinufaisha nchi hiyo
Ugiriki ilitawala mataifa mengi ya Ulaya kipindi hicho lakini angalia ilivyoachwa mbali na wenzake wa EU. Hata ile dola ya kirumi imepotelea wapi?
 
Hii ya kurogwa ipo Mkuu.
Kuna ndugu yangu aliwahi kutupiwa kifafa Ila baada ya mtaalamu kufanya yake mambo yalienda sawa.

Mpaka sasa bado nawaza Ni technique gani ilitumika. (Around 2010).🤔
Kifafa(Epilepsy) ni hitilafu kwenye neurons za ubongo. Inapona kwa kufanya neurosurgery(upasuaji wa ubongo)

Afrika ikiwemo Tanzania tuna Neurosurgeons wachache kiasi kwamba hatuwezi kufanya Neurosurgery.

Kuna pasuaji za ubongo kadhaa za kutibu kifafa zimefanikiwa pale Muhimbili na Benjamini Mkapa Dodoma, kwa hiyo tuna Improve.

Kifafa haiwezekani kurogwa au kutupiwa, wala siyo majini.
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Waafrika tunaendekeza sana ngono, na haswa bongoland kwa ngono hii nchi imeshindikana. kingine kilichowaangusha waafrika ni kutokua na elimu yake yenyewe.Mataifa yote yaliotumia elimu yake mengi yameendelea na mengi hayakutawaliwa; kwa Africa ni Ethiopia tu ambao nao wana elimu yao kwa kutumia syllabi zao. Imagine, mwaafrika anajivunia kuongea kiingereza vizuri kushinda wenzake 😀 😀 😀
 
Ugiriki ilitawala mataifa mengi ya Ulaya kipindi hicho lakini angalia ilivyoachwa mbali na wenzake wa EU. Hata ile dola ya kirumi imepotelea wapi?
Ishu sio kuwatawala watu gani, je hata baada ya kuanguka wameopotea na kuwa choka mbaya hawatamaniki ? Au bado wapo katika level bora inaweza isiwe kama awali ila bora ambayo ukiambiwa wewe ukaishi huko uondoke huku Afrika hutosita.

Swali je, Afrika kuna nini kale na sasa au bado umasikini unanuka tu kila pande ?

Kupanda na kuanguka kwenye empire ni kitu cha kawaida tu na ndio maana Uingereza na kuanguka kwake haijawa sawa na Burundi, hayo mambo ya kupanda na kushuka wachina wanayajua vizuri sana maana hufanya hivyo mara kadhaa
 
Kwamba kipindi cha utoto ulikuwa sawa na Isaac Newton au Nikola?
Kuna exception to the rule ndio maana kina Nikola au Isaac sio wengi na huenda Isaac angezaliwa sehemu ambapo wanaambiwa kwamba hawawezi na lazima wawatafute taifa fulani ili waweze huenda asingekuwa kama alivyo..., Au Pele angezaliwa States huenda angependa Basket na sio Mpira..., now with everything considered hio blank slate inategemea muandishi anaandika nini.., Mfano kizazi hiki kinavyoona kina Diamond wanatoboa ndio maana kuna wasanii wamekuwa wengi...,

Mfano mwingine wa Systems mbovu kipindi hiki ambacho kila kitu kipo kwenye mtandao na coding na kazi nyingi inaweza kufanyika online Serikali kwa Shortsightedness imesababisha bundle kuwa gharama....

Waafrika tunaendekeza sana ngono, na haswa bongoland kwa ngono hii nchi imeshindikana. kingine kilichowaangusha waafrika ni kutokua na elimu yake yenyewe.Mataifa yote yaliotumia elimu yake mengi yameendelea na mengi hayakutawaliwa; kwa Africa ni Ethiopia tu ambao nao wana elimu yao kwa kutumia syllabi zao. Imagine, mwaafrika anajivunia kuongea kiingereza vizuri kushinda wenzake 😀 😀 😀
Kwani wazungu hawafagilii ngono? LGBQT+ Kaanzisha nani?

Na sio kweli eti nchi ikiwa na elimu yake haitawaliwi China wana lugha yao, mavazi yao na tiba zao na bado walitawaliwa.

Ethiopia hakutawaliwa kwakuwa geographical location yake haifai na pia ushindi wa vita vya Adowa vilithibitisha umahiri wake. Google hapo utaona .
 
Kwahiyo tunaishi kwa historia?
Kama nilivyosema hapo awali maisha sio destination maisha ni journey na unachofanya leo ndio kita determine kesho yako..., mfano ukija Tanzania kuanzia miaka ishirini ijayo utakuta wazee ombaomba kila kona (Je kosa litakuwa na hao wazee au upuuzi uliofanyika leo wa sisi kama jamii )?

Kwani wazungu hawafagilii ngono? LGBQT+ Kaanzisha nani?

Na sio kweli eti nchi ikiwa na elimu yake haitawaliwi China wana lugha yao, mavazi yao na tiba zao na bado walitawaliwa.

Ethiopia hakutawaliwa kwakuwa geographical location yake haifai na pia ushindi wa vita vya Adowa vilithibitisha umahiri wake. Google hapo utaona .
Soma vizuri nilivoandika na uelewe. ndio maana mnafeli mitihani ,Kenge wewe.
 
The source of different races in mankind on Earth is primarily due to genetic variation and adaptation to different environments. Over thousands of years, human populations migrated to different parts of the world and adapted to their specific climates and conditions. These adaptations, such as skin color, hair texture, and facial features, became more pronounced over time due to natural selection and genetic drift. It's important to note that while there are visible differences between people, the concept of race is a social construct and not a scientifically valid way to categorize humans.
 
Back
Top Bottom