Hivi wabunge wa CCM mnajisikiaje, wananchi hawafuatilii Bunge wanafuatilia kesi ya Mbowe?

Haaaahaaa members hawataki kuwasikiliza waliowachagua
 
Yaani believe me CCM wenyewe wanajuta kukosa upinzani,,yaani Bunge limepoa hatari[emoji1]
 
CCM wanatamani upinzani ungekuwepo Bungeni angalau bunge lichangamke
 
Naomba Bunge waibadili Sheria iliyompa DPP nguvu ya kusema haoni sababu ya kuendelea na kesi, naye aweze kushtakiwa na kulipa fidia kwa mlalamikaji. Vinginevyo ahadi ya kuiona pepo baada ya maisha haya ataikosa yeye na wanaompa nguvu.
Sijui why, wabunge wamepitisha vitu vya ajabu sana.
 
Kwani
Kwan Mbowe ana kesi mahakani? Mbona mm sijui
 
Hahaha wanavuna walichopanda. Dhambi ya uchaguzi ccm itawatafuna sana.
 
Ni ajabu Sana bunge la awamu limetia fora kwa kutofwatiliwa na watanzania nimepitia forum mbalimbali ikiwemo humu jf watu wengi wanashangaa Kama Kuna bunge linaendelea Dodoma .
Swali ni je kwanini watanzania wamelisusa bunge Lao?
Mi nadhani sababu ni ligi kuu ya Tanzania bara wewe je?
Mods naomba msiunganishe huu Uzi.
 


Bunge la CCM halina mvuto wala ladha kwani ni sawa na kula ugali bila mboga, "mboga" walikuwa ni wabunge wa Chadema. Bora kuangalia mdundiko mtu anaweza ku refresh mawazo kuliko kuangalia bunge la aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…