Hivi wabunge wa CCM mnajisikiaje, wananchi hawafuatilii Bunge wanafuatilia kesi ya Mbowe?

Ni ajabu Sana bunge la awamu limetia fora kwa kutofwatiliwa na watanzania nimepitia forum mbalimbali ikiwemo humu jf watu wengi wanashangaa Kama Kuna bunge linaendelea dodoma .
Swali ni je kwanini watanzania wamelisusa bunge Lao?
Mi nadhani sababu ni ligi kuu ya Tanzania bara wewe je?
Mods naomba msiunganishe huu Uzi.
Bunge Zuzu..
Ambalo speaker ameamua kuwa mpinzani.

Hawa hawafai hata kulipwa.

Maana wanajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Ni ajabu Sana bunge la awamu limetia fora kwa kutofwatiliwa na watanzania nimepitia forum mbalimbali ikiwemo humu jf watu wengi wanashangaa Kama Kuna bunge linaendelea dodoma .
Swali ni je kwanini watanzania wamelisusa bunge Lao?
Mi nadhani sababu ni ligi kuu ya Tanzania bara wewe je?
Mods naomba msiunganishe huu Uzi.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda wake kufuatilia kusanyiko la mazuzu.
 
Mkuu Nakusalimia Tu Leo!

Kumbe Unafuatilia, Ndiyo Maana Dodoma Kumefurika
 
Ni ajabu Sana bunge la awamu limetia fora kwa kutofwatiliwa na watanzania nimepitia forum mbalimbali ikiwemo humu jf watu wengi wanashangaa Kama Kuna bunge linaendelea dodoma .
Swali ni je kwanini watanzania wamelisusa bunge Lao?
Mi nadhani sababu ni ligi kuu ya Tanzania bara wewe je?
Mods naomba msiunganishe huu Uzi.
duh!
kumbe bunge limeanza
 
Kuliita genge la wahuni Kwa Jina zuri la BUNGE ni matumizi mabaya ya Hilo neno naomba waitwe
Kitaalamu
MAZUZU au MISUKULE ya kimbunga JoBo a.k.a Mgalilaya
(in Prof Assad Musa voices)
 
images.jpg

😂😂😂😂😂😂

What do u expect??
 
Ila upinzani c upo bungeni jamani halima yupo et al
 
Ni ajabu Sana bunge la awamu limetia fora kwa kutofwatiliwa na watanzania nimepitia forum mbalimbali ikiwemo humu jf watu wengi wanashangaa Kama Kuna bunge linaendelea dodoma .
Swali ni je kwanini watanzania wamelisusa bunge Lao?
Mi nadhani sababu ni ligi kuu ya Tanzania bara wewe je?
Mods naomba msiunganishe huu Uzi.
Hivi bunge liko kwenye session??
 
Sasa unataka tuwafuatilie mazuzu? Mimi sitaki hata kuwaona hao inzi wa kijani Wana roho za kishetani shetani tu.
Waendelee na majadiliano yao ya nguvu za kiume.
 
Mimi nilishangaa jana katika taarifa ya habari saa 2 kuona bunge limeanza sikuwa na taarifa kabisa.

Kesi ya Mbowe naifuatilia mwanzo mwisho na dhani polisi walifanya vizuri kupiga marufuku watu kwenda makakamani vinginevyo shughuli zote zingesimama.
 
Unataka kuja kwenye ukweli lakini mahaba na matamanio makubwa kwa chama chako yamekuzidi. Ukweli ni kuwa HAKUNA UFUATILIAJI WA MAANA KUTOKA KWA WANANCHI, SI KWA KESI YA MBOWE WALA BUNGE. Watu wapo na mambo yao tu....unahangaika tu kujaribu kutetea upande uliopo lakini hakuna kitu.
Sasa hivi gwajima, au hata hiki kimbaumbau kichawi, polepole, wanawaidi mbowe na bunge!
 
Mimi nilishangaa jana katika taarifa ya habari saa 2 kuona bunge limeanza sikuwa na taarifa kabisa.

Kesi ya Mbowe naifuatilia mwanzo mwisho na dhani polisi walifanya vizuri kupiga marufuku watu kwenda makakamani vinginevyo shughuli zote zingesimama.
Yeah, mwanzo mwisho na 'makamanda' wake!
 
Sina hamu wala muda wa kufuatilia bunge, hamna jipya pale,wanalipana tu posho za vikao.
 
zamani watoto walikuwa wanafahamu majinaya mawaziri wa nchi yao na wabunge wote mpaka wanaonyeshwa kwenye TV kuwa wanavipaji.

ila sasa hata mimi ukiniuliza jitu zima sijui hata kuna nani kule bungeni.
 
Back
Top Bottom