Hivi wabunge wa CCM mnajisikiaje, wananchi hawafuatilii Bunge wanafuatilia kesi ya Mbowe?


Hakuna mwenye muda wa kupoteza kuangalia Bunge la Ndugai na JIWE......Wao wafanye wanachotaka waendelee kubwia mabilioni yetu ya kodi.
 
Mazuzu tu
 
Hakuna mwenye muda wa kufatilia mazuzu
 
Shida hawajadili matakwa ya waliowapeleka
 
hahaha
Kikao Cha Ukoo.
 
Haiwezekani mtu afuatilie utumbo wa mzee Halima na sabufa kwa bando la pesa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…