Hivi wabunge wa CCM mnajisikiaje, wananchi hawafuatilii Bunge wanafuatilia kesi ya Mbowe?

zamani watoto walikuwa wanafahamu majinaya mawaziri wa nchi yao na wabunge wote mpaka wanaonyeshwa kwenye TV kuwa wanavipaji.

ila sasa hata mimi ukiniuliza jitu zima sijui hata kuna nani kule bungeni.
Wabunge wa kupandikiza wamekosa mvuto, ladha kabisa
 
Hivi mnamaanisha bunge linaendelea? Yaani nishasahau kabisa niko busy na kesi ya Mbowe na mechi za ligi kuu
 
Waone aibu mara ngapi??

Ule upumbavu wa October 28 ,2020 utalipwa kwa kila aliyehusika maana engineers wa ujinga ule wanaondoka mmoja mmoja..

Justice shall prevail
 
Mbowe sio gaidi!
 
Kwakuwa kenge sii msikivu, pale binadamu anapokuwa sii msikivu haishangazi sana🏃.
 
Kwanza si kweli kwamba wananchi hawafuatilii Bunge, ndiyo kwanza limeanza. Pili, kesi ya Mbowe inakuja itapita, ni kwa usalama wa nchi isilipuliwe na magaidi. Ni sawa watu wakifuatilia breakingnews kutaka kujua adamoo alilipwa na nani alipue ofisi za chama.
 
Bunge limedhalilishwa na kupoteza heshima na maana yake kabisa.. Kwasasa ni kama kilinge cha kikundi fulani kisichojitambua kuwa kiko wapi na kinafanya nini
 
Kwani bunge linaendelea sasa hivi? Ndo umenusanua ati[emoji3]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nchi ina wakazi watu wazima zaidi ya mil 30 na walioko kwenye mitandao hii hawafiki hata mil 10. Unawezaje kusema watu wanafuatilia sana kesi ya mbowe kuliko Bunge? Hivi mtu ukiwa CHADEMA unakosa AKILI?? Kwenu ninyi HAKI ni KWA UPANDE WENU TU? Wakati mwingine acheni upumbavu.
 
Bunge limekuwa kama kikao cha hadhara cha CCM. Leo tupo na shahidi #6, jana sijui alizima simu kwa nini?
 
Bunge limedhalilishwa na kupoteza heshima na maana yake kabisa.. Kwasasa ni kama kilinge cha kikundi fulani kisichojitambua kuwa kiko wapi na kinafanya nini
Kwani mnataka kuwafananisha na watoa Siri za wateja wao🤸.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…