Hivi wachezaji wakibanwa haja ndogo au kubwaa mchezo ukiwa unaendelea anaweza kutoka au kuna vitu wanakula?

Hivi wachezaji wakibanwa haja ndogo au kubwaa mchezo ukiwa unaendelea anaweza kutoka au kuna vitu wanakula?

1. Hujiandaa kabla ya mchezo

2. Muda ni dakika 45 hadi 50 na siyo 90. Wakati wa mapumziko hupumzisha vyote.

3. Maji mengi hupotea kwa njia ya jasho hivyo hitaji la haja ndogo hupungua sana.

4. Kila jambo ukizoea kufanya kwa ratibu, mwili huzoea.
Uzi uishie hapa

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.

Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia

Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
Kwani wewe huwa unajisikia kunya au kukojoa kila baada ya dakika ngapi?
 
Maandalizi kabla ya mechi ndiyo kila kitu. Na pia wachezaji wanashauriwa kutokunywa maji mengi ili kuzuia kichomi.
 
1. Hujiandaa kabla ya mchezo

2. Muda ni dakika 45 hadi 50 na siyo 90. Wakati wa mapumziko hupumzisha vyote.

3. Maji mengi hupotea kwa njia ya jasho hivyo hitaji la haja ndogo hupungua sana.

4. Kila jambo ukizoea kufanya kwa ratibu, mwili huzoea.
3. Maji mengi hupotea kwa njia ya jasho, hovyo hitaji la haja ndogo hupungua sana.

Hitaji la haja kubwa hupotea kwa njia gani?
 
Ukiachilia mbali kujiandaa kukabiliana na Hali hiyo,wakizidiwa wana susuu Tu Kwa bukta..hakuna mbaya
 
3. Maji mengi hupotea kwa njia ya jasho, hovyo hitaji la haja ndogo hupungua sana.

Hitaji la haja kubwa hupotea kwa njia gani?
Kitaalam, binadamu hutakiwa kupata haja kubwa mara 3 katija saa 24. Ukigawanya utaona anatakiwa apate haja kubwa mara moja kila baada ya saa 8.

Mpira huchezwa dakika 45, mapumziko, kisha 45 nyingine. Anawezaje kusumbuliwa na haja kubwa katkati ya mchezo?

Ujue kuwa wachezaji hawali kama wewe bata. Hula kwa ushauri maalum wa mtaalam wa lishe. Na yeye mchezaji anajua nini kufanyike na kisifanyike kabla ya mchezo.

Kwenda haja katikati ya mchezo labda kama kashikwa na tumbo la uharo ghafla.

Vinginevyo ni vigumu.
 
Huwa inatokea ila ni kwa nadra sana
Ujue swala la haja ni mentality tu
Ukijiandaa kucheza mechi kuna namna ubongo unaset taarifa vizuri mpaka Dakika 90 ziishe
Ni sawa tu na wachungaji au Rais anapotoa hotuba ndefu
Ni ubongo upo hivyo kuna vitu mwili unazuia kwa sababu upo kwenye jambo fulani
 
Wachezaji hua wanashikwa na diarrhea mfano Messi, Eric Dier

Kama unamjua Gary Lineker aliwahi kuharisha uwanjani huku mechi ikiendelea.

Mechi ni dk 45 kama huwezi kuzuia mkojo kwa dakika hizi utakua unaumwa. Mara zote wachezaji hutoka kwaajili ya tumbo la kuhara, tangu nianze kufuatilia mpira sijawahi kuona mtu anatoka ili akojoe ila kuhara nishaona sana.
 
Mimi ni mzee, ila huwa nikiingia darasani kwa dakika 75 (10:00am - 11:25 am) huwa lecture inakwenda bila kusimama. Itakuwa hawa vijana wa nguvu wanaotoa maji ya ziada kwa jasho kushindwa kuhimiili dakika 45 tu kabla ya mapumziko. Acha masihara wewe !!!!
.
 
images-2.jpeg
 
Kuna kiwango na aina ya chakula pamoja na kiasi cha maji wanachokunywa siku ya mechi muda mfupi kabla ya kuingia uwanjani.

Kubanwa na haja huwa inatokea especialy haja ndogo lakini kwa kiasi kidogo sana cha kiweza kumaliza dakika 45 ukiwa kawaida tu
 
Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.

Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia

Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
ndo maana ya half time ndani ya dakika 45
 
Back
Top Bottom