Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauza karanga na kashata wakienda kukojoa makapu yao wayaweka wapi?Na matraffick wanakojoaga wapi
Uzi uishie hapa1. Hujiandaa kabla ya mchezo
2. Muda ni dakika 45 hadi 50 na siyo 90. Wakati wa mapumziko hupumzisha vyote.
3. Maji mengi hupotea kwa njia ya jasho hivyo hitaji la haja ndogo hupungua sana.
4. Kila jambo ukizoea kufanya kwa ratibu, mwili huzoea.
alikuwa na tumbo la kuhara?Nilimuonaga Eric Dier wa Tottenham Hotspur alitoka mchezo unaendelea akaenda chooni baadae akarejea
Kumbuka mapumziko ni dakika 15Mpya hii mpwa watakuwa wanakitu wanakula...kuzuia dk 90 usiende haja sio mchezo
Hahah kuna kipindi Mwana FA alikuwa anajiita Michael Scofied wa Bongo. Siku hizi simsikii tena.Mkubwa nje ya mada kidogo. Fanya mchakato ubadili hili jina lako manake hali imekorogeka kidogo!
Kwani wewe huwa unajisikia kunya au kukojoa kila baada ya dakika ngapi?Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.
Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia
Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
3. Maji mengi hupotea kwa njia ya jasho, hovyo hitaji la haja ndogo hupungua sana.1. Hujiandaa kabla ya mchezo
2. Muda ni dakika 45 hadi 50 na siyo 90. Wakati wa mapumziko hupumzisha vyote.
3. Maji mengi hupotea kwa njia ya jasho hivyo hitaji la haja ndogo hupungua sana.
4. Kila jambo ukizoea kufanya kwa ratibu, mwili huzoea.
Kitaalam, binadamu hutakiwa kupata haja kubwa mara 3 katija saa 24. Ukigawanya utaona anatakiwa apate haja kubwa mara moja kila baada ya saa 8.3. Maji mengi hupotea kwa njia ya jasho, hovyo hitaji la haja ndogo hupungua sana.
Hitaji la haja kubwa hupotea kwa njia gani?
AaahaaaaMkubwa nje ya mada kidogo. Fanya mchakato ubadili hili jina lako manake hali imekorogeka kidogo!
AaahaaaHahah kuna kipindi Mwana FA alikuwa anajiita Michael Scofied wa Bongo. Siku hizi simsikii tena.
ndo maana ya half time ndani ya dakika 45Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.
Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia
Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
😂😂😂 mpwa bwana!Na matraffick wanakojoaga wapi