Hivi wadada kumbe wanaanini uongo tunaowaambia?

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Kuna mmoja hapa na macho ya kawaida tu, bas nikamwambia unamacho mazuri sana natamani niwe nakuangalia mara zote, eeh basi anajua ni kweli amekaa anayazunguusha zunguusha kumbe hakuna maajabu yoyote.

How possible?
 
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,,mtatuua kwa uongo nyie viumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…