Sheli ni nini ? Au petrol station ? Pole zakoooKuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba
Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
ππ hivi wanashida gani sana sasa hapo shida ipo wapiJuzi Nilienda sheri moja Hapa Mjini nikampa Dada efu 75 anijazie mafuta badae nikamwambia Fanya kuongeza yawe ya lak tu akasema Kwanini hukusema na kujipanga toka Mwanzo amshukuru nilikuwa na mwanamke ambaye sikutaka ajue Tabia YANGU mapema nikavunga nikamwambia Samahani.
Au sioMimi Huwa nataka ya pesa ndefu naona tabasamu.
Kaka nunua usafiri wa Maana hao wadada huwa ni wapole sana na ni wakarimu.Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba
Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
Duh sawaSheli ni nini ? Au petrol station ? Pole zakooo
Kituo cha mafutaππ tushazoea kuita ivyo na sio petro station
ππsawaKaka nunua usafiri wa Maana hao wadada huwa ni wapole sana na ni wakarimu.
Ulikuwa juu ya Boda
Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba
Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
Sawa itabid tuache mazoeaKituo cha mafuta
Ungemchapa hata makofi mawili awe na adabuKuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba
Wakaanza kunifokea kwanini unalipia kwa lipa namba na usemi maneno yalikuwa mengi sana nikakosa cha kumjibu na muangalia amalize kuongea akaja kijana mmoja kusikiliza kuangalia muhamala umefika ila kilichomfanya anifokee sikukiona nikaona ana shida na mawazo mengi sana hii sio mara ya kwanza sheri nyingi sana kauli mbovu sana
Hiyo uliyo andika hapo 'Shelly' haija wahi kuwepo si hapa Tanzania bali dunia nzima kwenye biashara ya mafuta.Shelly walishaondoka ,hivyo ni vituo vya mafuta...
MchambuziTatizo kubwa ni mishahara maisha magumu wanauza Nyapu na mikuyundu kama hawana wazazi
Kwa hiyo hasira huzitoa hasa kwetu sisi wenye Toyo ukiwa na gari Wana heshima kidogo mbwa wale...
Huku wanalipqa 150-200k Kwa mwezi
Sasa geto zuri self hapa kitaa ni 70-100k je atatoboa asipouza kisimbuzi chake? Wanaume nao mikiyundu Iko hatarini kupoteza marinda yake ni kuwaombea usiku na mchana.
Yangu ni hayo.
NB: Mvua zinavyoendelea hizi ni nzuri mno Kwa kilimo Cha Watoto.
Watu wengine ni wakuhurumia tuUngemchapa hata makofi mawili awe na adabu
Sina uhakika kama Kuna kitu Cha mafuta wanalipwa 500k labda yule supervisor wao.Shingapi?
Hata Mm nauliza sheri na gari wap na wap huyu passola au bata vuzisheri?
Anyway, kwahiyo una gari au pikipiki? π€ π
Venye nimecheka, wewe mbinguni hutapaona π π πHata
Hata Mm nauliza sheri na gari wap na wap huyu passola au bata vuzi
Sawa usirudie tena.Nisamehe mimi
Mh hali ngumu sanaSina uhakika kama Kuna kitu Cha mafuta wanalipwa 500k labda yule supervisor wao.
Lakini huku mwisho ni 200k Nina uhakika ninachokisema
Kabisa mkuu, sema waongezewe mishahara tuWatu wengine ni wakuhurumia tu