Hivi wafanyakazi wa sheli wana shida gani?

Mbona waraka wa amani
 
Neno "sheli" linatokana na jina la kampuni ya mafuta ya kimataifa iitwayo Shell, ambayo ni mojawapo ya kampuni kubwa za kuuza mafuta duniani, ikiwa na nembo ya ganda la kaa (shell kwa Kiingereza).
Wakati biashara ya mafuta ilipoanza rasmi, Shell ilikuwa kampuni ya kwanza au mojawapo ya kampuni zilizotawala soko.
Kwa sababu ya umaarufu huo, watu wakaanza kutumia neno "sheli" kama jina la jumla kwa vituo vya mafuta — hata kama havimilikiwi na kampuni ya Shel

Si vituo vyote vya mafuta vinapaswa kuitwa "sheli".

Kila kituo kinapaswa kuitwa kwa jina lake halisi — kama vile TotalEnergies, Lake Oil, Oryx, Puma Energy, Gapco n.k.
Kwa sababu ya mazoea, watu wengi Tanzania wanatumia neno "sheli" kumaanisha kituo chochote cha mafuta bila kujali jina halisi.
Mfano
Kisahihi: "Ninakwenda kununua mafuta Lake Oil."
Kijamii: "Ninapita sheli pale Sinza."
Hitimisho
Kitaaluma na kiheshima kwa kampuni, ni vizuri kutumia jina halisi la kituo cha mafuta.
Kwa matumizi ya kawaida ya mtaani, watu bado wanatumia "sheli" kama jina la kawaida la vituo vya mafuta, lakini si sahihi .
Pole mkuu kwa huduma mbovu uliyoipata,wahudumu wengi wapo hivyo sababu mishahara yao ni midogo hivyo tegemeo Lao kubwa ni bakshishi! inaelekea na maboss wao wanalijua hili! maana vituo vingi tumewekewa wanawake kutuhudumia.
 
Wale watu wanapenda tips Sasa wewe na kiranga chako ukatoa Kwa sim wakakuona mchoyo 😀
 
Wenzetu wapo kwenye self service saa hii, yaani ukinuna ni wewe mwenyewe tu

Pole sana hao wadada ndio walivyo wana makasiriko kama yote
 
Hivi wafanyakazj wa sheli huwa wana mikataba ya kazi kweli??? Maana sheli unaweza kuta kila siku wadada wapya kama bar vile.
 
"Sheri" ndo mdudu gani?
 
Kweli pesa ndogo na nasikia wanakatwa ikitokea short
Mkuu yani usababishe short ulitaka wasikatwe? Bila kukatwa short vituo vyote vingefungwa kwa kushindwa kujiendesha, Maana muuzaji anadaiwa kodi, kaona nguo nzur anaitaka, katamani kula chasing kuju yeye anachukua kweye mauzo.
 
Hicho kituo vha Sheli bado kipo mji gani Tanzania, nakumbuka mara ya mwisho kiliunganishwa na BP.
 
Wengi wanalipa madeni ya shoti, sijui wanaingizaje shoti?
Kusahau kuchukua pesa kwa mteja hii siyo sana na tabia ya kuchukua pesa kwa matumizi yake binafsi kwasababu uwezi kufanya kazi bila kula, na kuchukua pesa kwa kununua bidhaa.
 
Sina gari

 

Attachments

  • shell.PNG
    35.7 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…