yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Kwani kwenye mifano yako lazima umshilikishe mzee ?1. Kiingereza ni lugha yenye matumizi tofauti kimaongezi na kitaalamu.
2. Pharmacists wote ni chemists ila chemists wote siyo pharmacists.
3. Kumbuka physists wote siyo kuwa hutibu, bali wote wanaotibu ni physists.
4. Hapo #3 na #2 wafrika ni weusi lakini kuna weusi si waafrika.
5. Ndiyo maana mkemia jiwe aliwapata wengi na mapigo yake ya nyungu.
Wewe uliiona ni Shape gani?Wanaodai dunia ni flat ni vichwa panzi kabisa
Kitulize sasaWewe bado una akili ya kushikiwa...
SphereWewe uliiona ni Shape gani?
Ha ha haWewee wacha uoga. Ukimwi haupogo, wee umewahi kumuona mgonjwa wa ukimwi?
Asante sana..Co dawa ni chanjo
Chanjo ipo bado katika majaribio kwa sasa ina zaidi ya miaka 10 majaribio kwa binadamu, unaweza uliza wataalam bagamoyo hjimri na Mbeya zonal hospital kwa maelezo zaidi sabu izo center zinafanya ayo majaribio mpaka sasaAsante sana..
Nimeelewa sasa .. kwahiyo tuseme ukimwi hauna chanjo
Atleast yeye alikuja na chochote kupambana na hali iliyokuwepo, Mbowe alifanya nini? Umesikia Uganda wana mpango wa kuyatupa mamilioni ya chanjo za uviko baada ya kukosa kazi?Ndiyo maana mkemia jiwe aliwapata wengi na mapigo yake ya nyungu.
Huwezi kutengenezadawa ya ukimwi halafu wazungu wakakuacha Salama, kuna habari iliwahi kuripotiwa kwenye mitandao kuhusu mwafrika kutengeneza dawa kwakutumia matunda, lkn kabla hajaisambaza wakalamba kichwa chake, akatokea mwandishi aliyetaka kueleza ukweli kuhusu kifo cha huyo mwamba naye wakafyeka kichwa chake kabla hajatoa kitabu, wazungu ndio wako hivyoNi kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?
Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti,
Nb. Ugonjwa wenyewe ulivyotulia utadhani haupo, tuwe makini bandugu ukimwi ni hatari,
1.Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
2.Pima afya ili kujua hali yako
3.Epuka ngono zembe
4.Tumia kinga kila unapojamiiana.
Sambaza upendo, usisambaze ukimwi, stay safe always.
Wewe una uhakika gani kuwa sio scum.Fanya utafiti wa kutosha ili ujiridhishe kuwa sio scum.Dunia ya leo sio ya kumuamini mtu yeyote outright.Wake up Proved.Kusema magonjwa kama COVID-19 au Ukimwi ni 'Scam' inatia hofum
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?
Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti,
Nb. Ugonjwa wenyewe ulivyotulia utadhani haupo, tuwe makini bandugu ukimwi ni hatari,
1.Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
2.Pima afya ili kujua hali yako
3.Epuka ngono zembe
4.Tumia kinga kila unapojamiiana.
Sambaza upendo, usisambaze ukimwi, stay safe always.
Ndugu mwandishi..Wanasayansi bado wanaumiza vichwa sanaa Pharmacologist,Pathologist,MD's bado wanaumiza vichwa sanaa Dunia bado ni changa hii Ukiweza kujihadhari jilinde na magonjwa sanaa
Kwamba ili watu wapige pesa za dawa ama?????
Ndiyo...Kwamba ili watu wapige pesa za dawa ama?????
Doh
Ni Hatari sana
Achana na duniani, hapa Tanzania tunao maprofesa wa CCM wengi sana pamoja na aliyekwenda Madagaska kuchukua dawa ya mitisjamba.Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?