Ni ngumu kutengeneza dawa ya kitu ambacho hakipo.Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?
Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti,
Nb. Ugonjwa wenyewe ulivyotulia utadhani haupo, tuwe makini bandugu ukimwi ni hatari,
1.Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
2.Pima afya ili kujua hali yako
3.Epuka ngono zembe
4.Tumia kinga kila unapojamiiana.
Sambaza upendo, usisambaze ukimwi, stay safe always.
Si hii inafanyiwa majaribio nchi nyingi tu, nikama imeshapatikana, sema haaijaidhiniswa tu. Ungesama KISUKARI na HOMA ya ININi kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?
Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti,
Nb. Ugonjwa wenyewe ulivyotulia utadhani haupo, tuwe makini bandugu ukimwi ni hatari,
1.Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
2.Pima afya ili kujua hali yako
3.Epuka ngono zembe
4.Tumia kinga kila unapojamiiana.
Sambaza upendo, usisambaze ukimwi, stay safe always.
Unajua kuna Viwanda vingapia vya dawa Bongo? kingine kimezinduliwa juzi na Ummy mwalimu??Ila sio scientists wa kwetu.
Hawa pharmacologist wetu ni kugawa dawa tu. Pathologists na MDs wetu ni kumeza vitini vya huko duniani..nadhani unaikumbuka covid ilivyowachoresha.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Mbona mafua ni virusi na vina dawa.Angalizo virus yeyote duniani Hana dawa.
Sasa hayo magonjwa mengine ya virusi kama tetekuwanga mbona yana dawa...
Basi hata ukimwi una dawa, ARV.Mbona mafua ni virusi na vina dawa.
Una uhakika na kila anachosema mtu mweupe? Yawezekana wao wanajua kila kitu hasa wale walio kwenye nafasi za koutawala na sisi wameona tu fahamu vitu vichache mno halafu Tuamini ndio vipo hivyo tu vinavyofahikaBado ni DEBATE kuna theory zinasema ni duara nyingine Flat nyingine Sphere nyingine Oval kila mtu na Lake dunia bado hii Technology bado changa sanaa.Ni kweli zimeanza zamani ila bado changa sanaa Tech za viwanda,Simu hazima hata miaka 50
Kwaiyo kugonga kavu karibuni itakuwa rasmi?Kuna dawa tayari aina mbili zimetengezwa na majaribio yanafanywa na nadhani ndani ya mwaka huu watakuwa na jawabu halisi
Ukipona malaria unaendelea kumeza dawa za malaria??Hii hoja hua naona hai make sense kwasababu hata wakipata dawa bado si wataendelea kufanya biashara ya dawa maana si watu wataendelea kuambukizwa watahitaji dawa kwa ajili ya kupona kama ilivo malaria, amoeba, kaswende, uti nk.
Na hapa watapiga sana pesaKuna dawa tayari aina mbili zimetengezwa na majaribio yanafanywa na nadhani ndani ya mwaka huu watakuwa na jawabu halisi
Exactly, UKIMWI sio ugonjwa ni mojawapo ya siri za Dunia.UKIMWI ni mkakati. Wameuleta wenyewe hao hao kwa lengo maalum.
Kabisa aiseeExactly, UKIMWI sio ugonjwa ni mojawapo ya siri za Dunia.
Hatuna baya tunaishi kwa kutegemeana.Inasadikika kuwa dawa ilishatengenezwa kitambo.
Tatizo mradi wa ARV ni mkubwa na una faida kubwa mno kwa wahusika kuweza kukubali kirahisi kuponya malighafi yao ambayo ni wahanga wa HIV wanaotumia ARV.
Kila ukipiga kavu kumbuka unaingia rasmi kwenye takwimu ya kutajirisha wenye mradi wa ARV.
Jiwe alidanganya wengi sana ila wapumbavu tuMkuu kuna kada inaitwa "pharmacists" hao ndiyo wenye maua yao.
Wakemia ni kama alivyokuwa "jiwe" ndiyo maana waliomsikiliza ni kama unavyoona:
View attachment 2868737
Dawa za binadamu ujue na receptors zake mwilini siyo kukurupuka na chemistry tu ndugu yangu.
We had a very big problem. Sema Mungu fundiKwani kwenye mifano yako lazima umshilikishe mzee ?
Hiyo nyungu ndo ilitusaidia Wananchi na baadhi ya hospital kubwa za Tanzania wakaanzisha huduma ya nyungu na matokeo yake yanajulikana.
acha ubishi dawa ipo kabisa ila huo ni mradi kama ilivyo mingineHizi story hizi ππππππππππππππππ
Haya ngoja tuone