Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

Bwana Deception aliyafafanua maswala haya kwa umakini wa hali ya juu.

Wajanja tumemuelewa fika. Kiufupi ukimwi ni hoax..

You create a lie and repeat it several times obviously the lie seems to be a truth.

Sasa jizonge kapimwe ukimwi alaf uambiwe positive uanze kubugia makete yale maisha yako yote.

Mbona hukuti watu kupinga kuhusiana na maradhi ya zinaa kama kaswende, gono na mengine kwasababu yana uthibitisho wa kisayansi, hivi kwani kirusi cha ukimwi kilishawahi kuonekana?
 
Bado ni DEBATE kuna theory zinasema ni duara nyingine Flat nyingine Sphere nyingine Oval kila mtu na Lake dunia bado hii Technology bado changa sanaa.Ni kweli zimeanza zamani ila bado changa sanaa Tech za viwanda,Simu hazima hata miaka 50
The world is Flat
 
Kila ukipiga kavu kumbuka unaingia rasmi kwenye takwimu ya kutajirisha wenye mradi wa ARV
Hata ukitumia kinga pia unaingia kwenye mfumo wa wenye Viwanda vya Kondom ambao ni hao hao.
Ukimwi ni ukoloni dhidi ya nchi masikini za kiafrika.
Bahati mbaya hata wakemia wa bara hili wana vyeti vya kuombea ajira pekee.
Hawana uwezo wa kufanya utafiti
 
Onesha aliyepona nitaacha ubishi...
Lete prove nitaacha ubishi
sawa na mimi nakupa njia mtafute daktari bingwa umuulze haya ikiwa unamfanyia mgojwa wa ukimwi oparation je huwa mnameza dawa gani au mkifanya oparation ngumu na zenye mazingira tata huwa mnameza dawa gani akikujbu njoo hapa kama utpata jibu.
 
sawa na mimi nakupa njia mtafute daktari bingwa umuulze haya ikiwa unamfanyia mgojwa wa ukimwi oparation je huwa mnameza dawa gani au mkifanya oparation ngumu na zenye mazingira tata huwa mnameza dawa gani akikujbu njoo hapa kama utpata jibu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna kitu ujaelewa kuhusu zile dawa na ufanyaji kazi yake...

Usitake kuleta stori kuwa dawa zipo wakati ujaonesha huyo aliyepona kwa hizo dawa....
 
Hizi story hizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya ngoja tuone
Sio story huo ni mradi wa watu fulani. Na wanapiga pesa nakuzijaza kwenye swimming wanaziogea kama maji.


Shtuka Mwana....
 
Sio story huo ni mradi wa watu fulani. Na wanapiga pesa nakuzijaza kwenye swimming wanaziogea kama maji.


Shtuka Mwana....
Ina maana hizo dawa hapa Afrika hakuna matajiri ambao wamenufaika na huo mradi wa dawa au wameshindwa kumudu hizo pesa ?
 
Kwa hiyo dawa za HIV haziwezi kuuzwa kwa faida?

Yaani wewe ukigundua dawa ya HIV utaacha kuuza sababu kuna ARV sokoni?
 
Nitajie ugonjwa mmoja wa virus wenye dawa
 
Dawa zipo hata hapa Tanzania na watu wanapona.

Nimeshuhudia kwa macho yangu mtu alikuwa taabani anakula vidonge vya hospitali, akaambiwa kuna mtu Magomeni anaitwa Msigwa ana dawa yake kaitengeneza kutokana na miti shamba, muathirika akaona hana cha kupoteza aanze kuitumia, mwaka wa tano sasa yupo negative na kawacha uasherati kabisa. Na aliwacha siku nyingi sana kutumia madawa ya matumaini.
 
Zipo dawa za kiswahili zinazotibu ukimwi na unapona kabisa.
 
Tangazo hili .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…