Hivi Wakiamua Matokeo ya Urais yawe hivi atawafanya nini?

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Tunajua Matokeo ya Urais na Ubunge ya nchi hii yanaamuriwaga na kulazimishwa na TISS. Kiuhalisia bila hao TISS yeye na chama chake ni wepesi zaidi ya karatas.

Sasa anavyogombana na TISS na siku ya uchaguzi wakiamua matokeo ya Urais yawe hivi. Atasemaje? Na Katiba inasema Matokeo ya Urais hayahojiwi Mahakamani.
 
Hao TISS ni kina nani?

Mnawapa nguvu ambayo hawana.

CCM inabebwa na mfumo wa Dola, yaani mfumo huo huo unaoandaa na kusimamia uchaguzi
 
Hao TISS minkina nani?

Mnawapa nguvu ambayo hawana.

CCM inabebwa na mfumo wa Dola, yaani mfumo huo huo unaoandaa na kusimamia uchaguzi
Unadhani matokeo ya Uchaguzi nchi hii yanapangwa na nani?
 
Tunajua Matokeo ya Urais na Ubunge ya nchi hii yanaamuriwaga na kulazimishwa na TISS. Kiuhalisia bila hao TISS yeye na chama chake ni wepesi zaidi ya karatas.

Sasa anavyogombana na TISS na siku ya uchaguzi wakiamua matokeo ya Urais yawe hivi. Atasemaje? Na Katiba inasema Matokeo ya Urais hayahojiwi Mahakamani.
Kwanza subiri mziki wa June upite
 
Mwanasiasa yeyote hawezi kuwa na nguvu kuzidi mifumo. Ikiamua hawezi chomoa na hatoweza kuwafanya chochote.
Mtu akishakuwa Rais nchi hii, yeye ndio anakuwa MFUMO.

Kila mtu ndani ya mfumo ana mkono wake.

Ukiachana na teuzi, hata ajira za Mtendaji wa kijiji yeye ndio anatoa kibali cha ajira.

Na huyo mtendaji wa kijiji akisha ajiriwa, anakuwa chini ya waziri wa utumishi, TAMISEMI na DED pamoja na Makatibu wote wa wizara ambao ni WATEULE wake.

Hawawezi kuwa na nguvu dhidi yake.
 
Mtu akishakuwa Rais nchi hii, yeue ndio anakuwa MFUMO.

Kila mtu ndani ya mduo ana mkono wake.

Ukiachana na teuzi, hata ajira za Mtendaji wa kijiji yeye ndio anatoa kibali cha ajira.

Na huyo mtendaji wa kijiji akisha ajiriwa, anakuwa chini ya waziri wa utumishi, TAMISEMI na DED pamoja na Makatibu wote wa wizara ambao ni WATEULE wake.

Hawawezi kuwa na nguvu dhidi yake.
Uchaguzi ni njia rahisi sana ya kushusha kiburi cha mtu. Endapo wenye mamlaka wakijua nguvu yao.
 
Labda tuanze kwa kususa mikusanyiko yao kwanza.
Hilo ni dogo sana.

Kiongozi akishaingia kwenye uchaguzi tu hana namna ya kuwafanya chochote kile wenye maamuzi ya mwisho na uchaguzi endapi wakiamua chochote kile
 
Back
Top Bottom