Hivi Wakiamua Matokeo ya Urais yawe hivi atawafanya nini?

Hivi Wakiamua Matokeo ya Urais yawe hivi atawafanya nini?

Wenye maamuzi hasa huko TISS ndio wanufaika wakuu wa huu uozo. Hakuna mabadiliko yatatokea nchi hii for as long as we have the same old Katiba na mijitu kama Kikwete kuwa na relevance/say.
 
Hapana.
Hebu usiwe na haraka mkuu, kana kwamba mambo ya nchi hii ni mageni kwako.

Siku zote unakumbushwa; KATIBA, ni makaratasi tu yaliyounganishwa kuwa kakijitabu, kama zilivyo sheria zetu zote.

Rais Haachi madaraka sekunde hiyo hiyo ya matamshi hayo! Hili lijue vizuri.
Nielewe mimi. Nguvu anayobaki nayo ni kukabidhi madaraka tu.
 
Wenye maamuzi hasa huko TISS ndio wanufaika wakuu wa huu uozo. Hakuna mabadiliko yatatokea nchi hii for as long as we have the same old Katiba na mijitu kama Kikwete kuwa na relevance/say.
Naona wanatishwa na kinyago walichokichonga wenyewe. Ndo nawasanua sasa kuwa kwenye matokeo ya uchaguzi akitangazwa mwingine na sio yeye atawafanya nini?

Wasanuke waache undezi.
 
We umewahi ona Rais aliyeshindwa uchaguzi akawa na nguvu yeyote?
Nimekwisha malizana nawe, mkuu 'Lord'. Zile 'elements' za zamani naona zinarudi kwa kasi sana, hadi zinakunyima nafasi ya kutafakari mambo rahisi kabisa unayo kumbushwa.
Sasa sijui unataka kuipeleka wapi mada kama hii, ambayo uhalisia wake ni hafifu kabisa.
 
It always seem impossible until it becomes possible
 
Mwenyekiti wa Tume (Mtangaza matokeo)

Jaji Mkuu (Mwapishaji)

CDF (Mtulizaji)

Hao wote ni wateule wake.

Hao wote hawawezi kumkana.
kimsingi hapo unamhitaji mwenyekiti wa tume tu,
hao wengine automatically watafuata utaratibu maana katiba ina mtii tume kuliko hao
 
Alichofanya Kagame kwa Ian Kagame ndicho Bibi Titi alichofanya kitambo Sana.
 
Wanaweza sana wakiweka heshima ya nchi yao mbele; hata kwa hiyo sekunde moja tu tunayomwomba huyo mTanzaji siku hiyo moja katika maisha yake.

Hawa ni watu, wana utashi. Huyu (mtangazaji), siku hiyo moja, katika hiyo sekunde moja, atumie utashi huo wa kizalendo; hata kama maisha yake yamo hatarini kwa sekunde hiyo moja!
Hilo ndilo mleta mada analolielezea kwenye mada yake.
Kabla hamja waza hayo nyie ndio mngekaa nafasi yake mngekuwa watakatifu hivyo,
 
Kabla hamja waza hayo nyie ndio mngekaa nafasi yake mngekuwa watakatifu hivyo,
Haihitaji "UTAKATIFU" kuipigania nchi yako unayoipenda.
Kwa nini usijiulize vijana wetu wanapoweka maisha yao wakati wa majanga kama vita chini ya utaifa wao; ulisha wauliza kama wao wanatafuta "UTAKATIFU"?

Mawazo ya aina hii hata sielewi watu huwa mnayaokota wapi.
 
Una uhakika gani kama atashindwa uchaguzi
Wewe mwenye uhakika atashinda, nenda kamwambie asiogope kufanya marekebisho ili uchaguzi uwe HURU na wa HAKI., watu wachague yeyote; hata yeye wakiamua kufanya hivyo bila ya kushurutishwa na mtu au kuhongwa pesa haramu ambazo hazijulikani zinatoka wapi.

Nenda kamwambie asiogope, kama anao uhakika wa kushinda.
 
Wakati utaamua.
 
Back
Top Bottom