Hivi Wakiamua Matokeo ya Urais yawe hivi atawafanya nini?

Hivi Wakiamua Matokeo ya Urais yawe hivi atawafanya nini?

Kwani Zanzibar mbona alishida Maalim Seif wazi kabisa, matokeo yakafutwa kibabe tu.
Lakini kumbuka akutangaza. Jecha angetangaza Tu Seif kashinda ingekuwa baas. Ila alitishiwa uhai wake. Yani angetangaza Tu mshindi Kwisha.
 
Back
Top Bottom