Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Hao TISS ni kina nani?Tunajua Matokeo ya Urais na Ubunge ya nchi hii yanaamuriwaga na kulazimishwa na TISS. Kiuhalisia bila hao TISS yeye na chama chake ni wepesi zaidi ya karatas.
Sasa anavyogombana na TISS na siku ya uchaguzi wakiamua matokeo ya Urais yawe hivi. Atasemaje? Na Katiba inasema Matokeo ya Urais hayahojiwi Mahakamani.
Uhaini kivipi?Huo ni ndio utakuwa uhaini sasa. hawatasubutu
Unadhani matokeo ya Uchaguzi nchi hii yanapangwa na nani?Hao TISS minkina nani?
Mnawapa nguvu ambayo hawana.
CCM inabebwa na mfumo wa Dola, yaani mfumo huo huo unaoandaa na kusimamia uchaguzi
WIzi wa kura unafanywa vituoni, kwa wasimamizi.Unadhani matokeo ya Uchaguzi nchi hii yanapangwa na nani?
Kwamba Tiss siyo sehemu ya Dola, au haujui maana ya Dola?Hao TISS ni kina nani?
Mnawapa nguvu ambayo hawana.
CCM inabebwa na mfumo wa Dola, yaani mfumo huo huo unaoandaa na kusimamia uchaguzi
Wakiamua atawafanya nini? Maana ndo itakuwa ameshashindwa uchaguzi na imeisha hiyo.Hawawezi.
Hap TISS ni unakuta watu 5 wilaya nzima, wana nguvu gani??Kwamba Tiss siyo sehemu ya Dola, au haujui maana ya Dola?
Anaweka partners wake in crime. Hawawezi kuthubutu kumtoa.Wakiamua atawafanya nini? Maana ndo itakuwa ameshashindwa uchaguzi na imeisha hiyo.
Mwanasiasa yeyote hawezi kuwa na nguvu kuzidi mifumo. Ikiamua hawezi chomoa na hatoweza kuwafanya chochote.Anaweka partners wake in crime. Hawawezi kuthubutu kumtoa.
ππππππHap TISS ni unakuta watu 5 wilaya nzima, wana nguvu gani??
Na hao TISS siku hizi ni vijana wahuni, walevi na vichwa vyenye kiburi na akili hawana.
Kwanza subiri mziki wa June upiteTunajua Matokeo ya Urais na Ubunge ya nchi hii yanaamuriwaga na kulazimishwa na TISS. Kiuhalisia bila hao TISS yeye na chama chake ni wepesi zaidi ya karatas.
Sasa anavyogombana na TISS na siku ya uchaguzi wakiamua matokeo ya Urais yawe hivi. Atasemaje? Na Katiba inasema Matokeo ya Urais hayahojiwi Mahakamani.
Mtu akishakuwa Rais nchi hii, yeye ndio anakuwa MFUMO.Mwanasiasa yeyote hawezi kuwa na nguvu kuzidi mifumo. Ikiamua hawezi chomoa na hatoweza kuwafanya chochote.
Uchaguzi ni njia rahisi sana ya kushusha kiburi cha mtu. Endapo wenye mamlaka wakijua nguvu yao.Mtu akishakuwa Rais nchi hii, yeue ndio anakuwa MFUMO.
Kila mtu ndani ya mduo ana mkono wake.
Ukiachana na teuzi, hata ajira za Mtendaji wa kijiji yeye ndio anatoa kibali cha ajira.
Na huyo mtendaji wa kijiji akisha ajiriwa, anakuwa chini ya waziri wa utumishi, TAMISEMI na DED pamoja na Makatibu wote wa wizara ambao ni WATEULE wake.
Hawawezi kuwa na nguvu dhidi yake.
Labda tuanze kwa kususa mikusanyiko yao kwanza.Uchaguzi ni njia rahisi sana ya kushusha kiburi cha mtu. Endapo wenye mamlaka wakijua nguvu yao.
Hilo ni dogo sana.Labda tuanze kwa kususa mikusanyiko yao kwanza.