Hiyo ni psychological torture.Hilo ni dogo sana.
Kiongozi akishaingia kwenye uchaguzi tu hana namna ya kuwafanya chochote kile wenye maamuzi ya mwisho na uchaguzi endapi wakiamua chochote kile
Kwa Tanzania Rais ana nguvu kuliko mfumo.Mwanasiasa yeyote hawezi kuwa na nguvu kuzidi mifumo. Ikiamua hawezi chomoa na hatoweza kuwafanya chochote.
Rais kipindi cha Uchaguzi nchi yeyote ile ni kama joka la kibisa.Kwa Tanzania Rais ana nguvu kuliko mfumo.
Mkuu, una ulimwengu wako wa kipekee kabisa nje ya uhalisia. Anyways, siyo dhambi. Endelea nao.Rais kipindi cha Uchaguzi nchi yeyote ile ni kama joka la kibisa.
Nimekwambia wakitoa matokeo ya tofauti atawafanya nini? Na matokeo yameshatoka?
Wewe nijibu wakiamua matokeo ya uchaguzi ni haya na yeye kapigwa chini atawafanya nini?Mkuu, una ulimwengu wako wa kipekee kabisa nje ya uhalisia. Anyways, siyo dhambi. Endelea nao.
Ni kama unafanya mzaha hapa.Tunajua Matokeo ya Urais na Ubunge ya nchi hii yanaamuriwaga na kulazimishwa na TISS. Kiuhalisia bila hao TISS yeye na chama chake ni wepesi zaidi ya karatas.
Sasa anavyogombana na TISS na siku ya uchaguzi wakiamua matokeo ya Urais yawe hivi. Atasemaje? Na Katiba inasema Matokeo ya Urais hayahojiwi Mahakamani.
Ninakuomba ujaribu kujenga hoja yako vizuri baada ya kuwasoma majirani zetu hapo Kaskazini mwetu.Mwanasiasa yeyote hawezi kuwa na nguvu kuzidi mifumo. Ikiamua hawezi chomoa na hatoweza kuwafanya chochote.
Tanzania ni rahisi sana. Kipindi cha uchaguzi chama kijani si lolote si chochote bila wale wajomba.Ninakuomba ujaribu kujenga hoja yako vizuri baada ya kuwasoma majirani zetu hapo Kaskazini mwetu.
Tazama chaguzi zao tokea Moi adondoke; halafu tazama uchaguzi uliofanyika 2017 wakati Mwai Kibaki alipokuwa kwenye hati hati ya kuanguka.
Usiishie hapo, weka akili yako vizuri zaidi kuelewa ni namna gani Uhuru Kenyatta alivyoweza kubaki kwenye madarakani katika ngwe yake ya pili wakati yeye mwenyewe alishakata tamaa ya ushindi.
Na mwisho kabisa, na pengine kwa muhimu zaidi, jifunze ni kwa namna gani Ruto aliweza kushindana na huo unaoitwa mfumo (chini ya Uhuru/Odinga), na kuweza kuibuka kuwa mshindi wa kiti cha uRais dhidi ya Odinga, aliyekuwa na mfumo mbele yake.
Nadhani ukiyaelewa vizuri matokeo yote hayo, yatakupa mwanga wa kujuwa ugumu uliopo katika kuwategemea hawa tunao wategemea sisi sote kwamba wataweza kutusaidia kuokoa jahazi letu hili.
Kimsingi sipingani na hoja yako.Tanzania ni rahisi sana. Kipindi cha uchaguzi chama kijani si lolote si chochote bila wale wajomba.
Mie kwa mawazo yangu wajomba kama wanataka kuwafanyizia kweli wapige nyoka kichwani kipindi cha Uchaguzi tu. Pale kwenye matokeo ndo pazuri.
Nani atoe matokeo tofauti, wakati mwenyekiti wa tume ni mteule wake.Rais kipindi cha Uchaguzi nchi yeyote ile ni kama joka la kibisa.
Nimekwambia wakitoa matokeo ya tofauti atawafanya nini? Na matokeo yameshatoka?
Mwenyekiti wa Tume (Mtangaza matokeo)Kimsingi sipingani na hoja yako.
'In fact' ningefurahi sana kukatokea hata hawa tunaowaona kama misukule sasa hivi, akina Mtungi, akina Kabuti, na wao angalao wakionyesha dalili tu, hata hafifu za kukataa kuwa vikaratasi vya chooni vya kufutia uchafu. Tukianzia hapo, itatuwia rahisi sana kubadili upuuzi huu unaoendelea sasa.
Tuseme, huyo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, siku hiyo, aamuke awe amedhamiria kuwa UZALENDO ni muhimu zaidi ya kitu kingine chochote maishani mwake; na asimame pale mbele; Kama alivyofanya CHEBUKATI wa Kenya, na kutamka ambayo hayakutegemewa na yeyote kwenye sekunde ile ya mwisho; kwamba liwalo na liwe.
Nani ataacha kufurahia uamzi wa aina hiyo siku hiyo! Tendo hilo pekee, litaanzisha mtiririko wa maamuzi hasi dhid yai watawala hata katika vyombo vingine siku hiyo
Akitoa matokeo tofauti atamfanya nini na atakuwa wameshashindwa urais?Nani atoe matokeo tofauti, wakati mwenyekiti wa tume ni mteule wake.
Jaji anayeapisha ni mtu wake.
Wanaweza sana wakiweka heshima ya nchi yao mbele; hata kwa hiyo sekunde moja tu tunayomwomba huyo mTanzaji siku hiyo moja katika maisha yake.Mwenyekiti wa Tume (Mtangaza matokeo)
Jaji Mkuu (Mwapishaji)
CDF (Mtulizaji)
Hao wote ni wateule wake.
Hao wote hawawezi kumkana.
Mtangangazi akishasema aliyeshinda ni fulani status yake inabadilika hapo hapo kuwa Rais anayemaliza muda wake.Wanaweza sana wakiweka heshima ya nchi yao mbele; hata kwa hiyo sekunde moja tu tunayomwomba huyo mTanzaji siku hiyo moja katika maisha yake.
Hawa ni watu, wana utashi. Huyu (mtangazaji), siku hiyo moja, katika hiyo sekunde moja, atumie utashi huo wa kizalendo; hata kama maisha yake yamo hatarini kwa sekunde hiyo moja!
Hilo ndilo mleta mada analolielezea kwenye mada yake.
Hii ni sawa na kusubiri miujiza. Sawa na kilichotokea Magu akakata moto.Wanaweza sana wakiweka heshima ya nchi yao mbele; hata kwa hiyo sekunde moja tu tunayomwomba huyo mTanzaji siku hiyo moja katika maisha yake.
Hawa ni watu, wana utashi. Huyu (mtangazaji), siku hiyo moja, katika hiyo sekunde moja, atumie utashi huo wa kizalendo; hata kama maisha yake yamo hatarini kwa sekunde hiyo moja!
Hilo ndilo mleta mada analolielezea kwenye mada yake.
Hapana.Mtangangazi akishasema aliyeshinda ni fulani status yake inabadilika hapo hapo kuwa Rais anayemaliza muda wake.
Kwa kifupi hawezi kumfanya mtu yeyote chochote kile.
Kwani Zanzibar mbona alishida Maalim Seif wazi kabisa, matokeo yakafutwa kibabe tu.Akitoa matokeo tofauti atamfanya nini na atakuwa wameshashindwa urais?
SAWA SAWA kabisa mkuu, 'Mpwimbe'. Lakini si hivyo kama ulivyo sema, huo "muujiza" kweli ukawa ndiyobasi!Hii ni sawa na kusubiri miujiza. Sawa na kilichotokea Magu akakata moto.