Internet unatumia bando zipi embu nijulishe na bei zake mkuu.Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
Hivi huu uzi ni unatuuliza kama watu wanatumia ving'amuzi au umekuja kututambia kwamba hutumii ving'amuzi bali unastream tu kwamba unajiona ni mnja saana au ni wa sasa sana au vipi??? Me sijaelewa mantiki ya uzi wako.Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
Ubaya wa king'amuzi huwezi kuangalia unachotaka, matangazo mengi kuliko vipindi halisi.Mtandao ni gharama ukilinganisha na king'amuzi.
Kama una bando lisilo la mawazo simu yako unamaliza kila kitu.Unawezaje kuangalia ligi ya uingeleza kwa streaming? Tupe maujuzi kaka hawa DSTV nimeshawachoka.
Wabongo tuna ujinga mno ni bc tuu kila mtu mtandaoni ni mtaalamu.Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
Hii App kwenye Smart Tv inagoma, Nasikia wenye Android tv ndo inafanya kaziKama una bando lisilo la mawazo simu yako unamaliza kila kitu.
Downlaod app inaitwa Cricfy Tv kwa ajili ya kuangalia mechi zote za ulaya, caf nk
Nina Google TV inagomaHii App kwenye Smart Tv inagoma, Nasikia wenye Android tv ndo inafanya kazi
Muulize kwanza anatumia simu gani kabla ya kuandika uharo wakoKama una bando lisilo la mawazo simu yako unamaliza kila kitu.
Downlaod app inaitwa Cricfy Tv kwa ajili ya kuangalia mechi zote za ulaya, caf nk
Kama umewahi tumia king'amuzi then ukaanza streaming ya mpira ndio utajua uzuri wa king'amuzi unakuja wapi. Ila kama ulianzia kwa streaming basi huwezi elewa.Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
Kwa DSTV mi naonaga poa ila hizo App zao kwanza wenye rights za kuonesha wanapambana nazo sana katikati ya mechi unashangaa haioneshi utahangaika mpaka matokeo unayapata livescore yaani kila zinavyovuja wanahangaika kuziba DSTV iko fresh kwa sababu unakua umelipia kile kile kifurushi cha nyumbani ndo unaangalia kiganjaniKama umewahi tumia king'amuzi then ukaanza streaming ya mpira ndio utajua uzuri wa king'amuzi unakuja wapi. Ila kama ulianzia kwa streaming basi huwezi elewa.
Elfu 70000 kwa mweziWabongo tuna ujinga mno ni bc tuu kila mtu mtandaoni ni mtaalamu.
Tupige hesabu.
Unatumia gharama ya sh ngapi kwa mwezi ya GB's kwa ajili ya movies, Mpira na mengineo
Halafu Piga hesabu kwa hayo hayo matumizi yako kwa mtu anayetumia kingamuzi anatumia sh ngapi kwa mwezi.
Hapo ndo utaona ww unaekuja kujisifia hapa huna akili ni bora yule anaye-stream kimya kimya.