Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?


Mswala Madogo Sana Hayo Na Hayana Umuhimu Kwa Wananchi Wenzetu Walio Wengi Hapa Nchini Tanzania,,Ni Dhambi,,Ushamba, Nuksi,Na Ni Uhaini Kifikra,,Kimtazamo Na Kimaono Kujadili...
​
 
Kwa DSTV mi naonaga poa ila hizo App zao kwanza wenye rights za kuonesha wanapambana nazo sana katikati ya mechi unashangaa haioneshi utahangaika mpaka matokeo unayapata livescore yaani kila zinavyovuja wanahangaika kuziba DSTV iko fresh kwa sababu unakua umelipia kile kile kifurushi cha nyumbani ndo unaangalia kiganjani
Kama una android tv install cricify
 
Kama umewahi tumia king'amuzi then ukaanza streaming ya mpira ndio utajua uzuri wa king'amuzi unakuja wapi. Ila kama ulianzia kwa streaming basi huwezi elewa.
Nakuelewa lakini tupo kwenye transition soon tutakuwa na very reliable connectivity
 
Hivi huu uzi ni unatuuliza kama watu wanatumia ving'amuzi au umekuja kututambia kwamba hutumii ving'amuzi bali unastream tu kwamba unajiona ni mnja saana au ni wa sasa sana au vipi??? Me sijaelewa mantiki ya uzi wako.
Maana ya huu uzi ni kuwashtua wa Tanzania waliobaki kwenye mfumo wa zamani inshort ni kuelimishana
 
Back
Top Bottom