Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

Maana ya huu uzi ni kuwashtua wa Tanzania waliobaki kwenye mfumo wa zamani inshort ni kuelimishana
Hua unashinda ndani tu hutoki nje? ukoo wenu wote hamtumii ving'amuzi? vipi kuhusu upande wa ndugu za mkeo? (au huna mke muda wote unastream pornhub?)

Wana JF mnazingua kujifanya kuna vimaisha flan mnaish huko mitaani. Uongo na kujitapa bila sababu ya msingi ni matumizi mabovu saaana ya akili na muda.

Kuja na jina feki inatosha, tujadili mambo ya msingi sasa, huo ujinga mwingine una sehem zake tiktock huko.
 
Kwa DSTV mi naonaga poa ila hizo App zao kwanza wenye rights za kuonesha wanapambana nazo sana katikati ya mechi unashangaa haioneshi utahangaika mpaka matokeo unayapata livescore yaani kila zinavyovuja wanahangaika kuziba DSTV iko fresh kwa sababu unakua umelipia kile kile kifurushi cha nyumbani ndo unaangalia kiganjani
Mwenyewe nazungumzia App ya DStv ya kulipia, silinganishi piracing na streaming ya kulipa.

Hiyo hiyo DStv ukiwa na king'amuzi hapa, na App pale ni vizuri zaidi kwa king'amuzi kuliko kwa app landa decoder yako iwe mbovu. Kuna baadhi ya vitu utakosa kwa app au itakuwa na lag isiyo na msingi, app itumike kama back up. Ila kama mtu hana hela ya ziada kwa king'amuzi aishi na app tu.

Na decoder inataka kwenye 15mbps (sina hakika) ndio usiwe na buffering na uone contents za quality ya juu.

App iwe uko safarini, njiani hujafikia kwako au nini ila sio uko nyumbani una vyote viwili unatumia app.
 
Hua unashinda ndani tu hutoki nje? ukoo wenu wote hamtumii ving'amuzi? vipi kuhusu upande wa ndugu za mkeo? (au huna mke muda wote unastream pornhub?)

Wana JF mnazingua kujifanya kuna vimaisha flan mnaish huko mitaani. Uongo na kujitapa bila sababu ya msingi ni matumizi mabovu saaana ya akili na muda.

Kuja na jina feki inatosha, tujadili mambo ya msingi sasa, huo ujinga mwingine una sehem zake tiktock huko.
imekuuma sana eenh
 
Namaanisha tangazo linaingia ghafla Huku kipindi kikiendelea hvy unakosa ule mtiririko sahihi wa kipindi au matangazo yanakuja kwa mtiririko uliopangwa?
Hata kama yanakuja kwa mtiririko uliopangwa lakini mimi sipo pale kuangalia matangazo, nakua forced kuangalia matangazo yao, nimelpia subscription halafu bado nalazimishwa kuangalia matangazo.
 
imekuuma sana eenh
Najua bongo tunapenda faraja, vicheko na furaha zinatokana nauongo kuliko maumi, kukataliw na huzuni zinazotokana na ukweli.

Na nilikula kiapo nitachapa vitasa kwenye mishono hata kama nitachukiwa na kila mtu duniani. Lazima niwape ukweli wenu.

Kilicho niuma ni kuona mwanaume anafanya utoto wa kike. Huo uongo hua wanaambiana mabinti wanaokomaa. Ile barehe ya miaka 14-16
 
Hata kama yanakuja kwa mtiririko uliopangwa lakini mimi sipo pale kuangalia matangazo, nakua forced kuangalia matangazo yao, nimelpia subscription halafu bado nalazimishwa kuangalia matangazo.
Kwa mfano,
Ww una-stream unaangalia Kipindi A.
Mimi naangalia kwa kingamuzi naangalia kipindi hiko hiko A.

Kwamba mm ninayeangalia kwa king'amuzi napata Matangazo mengi kuliko ww unae-stream kwa kipindi hicho hicho kimoja?
 
Najua bongo tunapenda faraja, vicheko na furaha zinatokana nauongo kuliko maumi, kukataliw na huzuni zinazotokana na ukweli.

Na nilikula kiapo nitachapa vitasa kwenye mishono hata kama nitachukiwa na kila mtu duniani. Lazima niwape ukweli wenu.

Kilicho niuma ni kuona mwanaume anafanya utoto wa kike. Huo uongo hua wanaambiana mabinti wanaokomaa. Ile barehe ya miaka 14-16
Mkuu punguza stress kila mtu anauwasilishaji wake wa maudhuhi usilazimishe tufanane
 
Fiber ndio unakuwa umemaliza. Ila hizi unlimited bado unapata changamoto ndogo ndogo ingawa na king'amuzi nacho mara upepo mara mvua.
Yah kama upo eneo lililofikiwa na fiber ni bora zaidi ukatumia fiber
 
Back
Top Bottom