Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

Siku hizi smart tv zikija na option ya ku-subscribe kwa pamoja na ukaweza ku-stream kuanzia, Netflix, Hulu, Disney+, DSTV n.k. Watakuwa wameua sana. Siyo TV inakuja na huduma nyingi huku kila huduma ulipie kivyake, hai-make sense kwa mtumiaji.
 
Kama umewahi tumia king'amuzi then ukaanza streaming ya mpira ndio utajua uzuri wa king'amuzi unakuja wapi. Ila kama ulianzia kwa streaming basi huwezi elewa.
Gharama pia ni muhimu kuzizingatia mkuu.
 
Ndio maana hizo streaming zilinishinda. Netflix plus dstv inanitosha.
Netflix ilitengenezwa maalum kwa ajili ya streaming kwahiyo haisumbui na haina other option. Kwa 15mbps unatazama 4K.
YouTube ni nzuri sana vile vile tena hii unaweza tazama 4K content kwa stable 10mbps.

DStv haikutengenezwa mwanzo kwa idea ya streaming, kwahiyo haiwezi kuwa bora kwa streaming badala ya kuwa bora kwa decoder. Pause, stop, record kwa streaming ni mzozo.

Na hii internet yetu sio reliable muda wote hata ulipe kiasi gani. Sana sana siku za mechi kubwa unajikuta wenzako wanashangilia goli wewe bado uko kwenye kona au faulo.
 
Upo sahihi katika hili mkuu!
 
Hiyo ni fiber na huyu mleta mada hana fiber.
No! Hiyo ni 5g router za Airtel kifurushi cha sabini elfu ni 25mbps.
3339.png
 
Ni 25Mbps
Aah wameua kabisa kama ni hivyo. Ina kasi au ndio kama ile unlimited ya mwaka ya Voda ambayo baada ya muda fulani inakuwa slow.

Kwani Airtel hawana fiber? Mbona kama wanajinyonya kwa hii bei. Hii ilistahili iwe bei ya TTCL basi tu ni vile wamelala.
 
Airtel hawana fiber, nadhani ndio sababu wamefanya hivyo.
 
Back
Top Bottom