AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kwa mwaka approximately hua unatumia bando kiasi gani na hua unalipa Million ngapi kwa Mwaka kwa matumizi yako ya kustream je ni nafuu zaidi kuliko kingambuzi? Naona siku hizi bando limekua jepesi sana huku watu wanauziana km wanauziana karanga au pipi mabango tu ya Wi-Fi kuanzia 500Nunua cromecast au android tv box haizidi 150k. Ukishakuwa nayo hiyo na Internet ya uhakika utasahau ving'amuzi. Pia google fawanews utakutana na game zote duniani ikiwemo league ya bongo.
Mimi nimeshang'oa DStv. Nachagua tu niangalie nini kwa wakati gani.