Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kwamba nilikuwa nambishia kwa akili au kama mtu asiye na kichwa? 😂Nilikuwa nakucheka namna unambishia mtoa mada hapo nyuma 😁
Ila wapare jamaniii
Kwamba nilikuwa nambishia kwa akili au kama mtu asiye na kichwa? 😂Nilikuwa nakucheka namna unambishia mtoa mada hapo nyuma 😁
Ila wapare jamaniii
Nunua cromecast au android tv box haizidi 150k. Ukishakuwa nayo hiyo na Internet ya uhakika utasahau ving'amuzi. Pia google fawanews utakutana na game zote duniani ikiwemo league ya bongo.Unawezaje kuangalia ligi ya uingeleza kwa streaming? Tupe maujuzi kaka hawa DSTV nimeshawachoka.
Inategemea unastream kwa njia gani. Mimi natumia chromecast with google tv. Tena kwa fiber huwezi jua kama nafanya streaming maana kila kitu kiko clear hata mvua zinyeshe hakuna scratchKama umewahi tumia king'amuzi then ukaanza streaming ya mpira ndio utajua uzuri wa king'amuzi unakuja wapi. Ila kama ulianzia kwa streaming basi huwezi elewa.
Hapana! Hiyo ni unlimited ndani ya wiki nimetumia 300gb.Means kwa mwezi unatakiwa utumie 300 GB, c ndio?
Matumizi ya wiki ndo hua wanaandika hvy monthly traffic?Hapana! Hiyo ni unlimited ndani ya wiki nimetumia 300gb.
Kadri siku zinaposonga hiyo idadi ya gb inaongezeka kulingana matumizi yako zikifika siku 30 inakata ukilipia inaanza upya.Matumizi ya wiki ndo hua wanaandika hvy monthly traffic?
Kama mtu aliyekatika kichwa kabisa yan, umembishia as if we ni mmiliki wa hizo bundle 🤣🤣 Afu mie nikawa sijisikii kukucorrect. Kuna muda tu inachosha kujibizana na mtu asiyetaka kuelewaKwamba nilikuwa nambishia kwa akili au kama mtu asiye na kichwa? 😂
Em hy comment yangu Moja afu Nikupe maelezo 😂Kama mtu aliyekatika kichwa kabisa yan, umembishia as if we ni mmiliki wa hizo bundle 🤣🤣 Afu mie nikawa sijisikii kukucorrect. Kuna muda tu inachosha kujibizana na mtu asiyetaka kuelewa
Me naangalia movie online, Moviebox, quality 1080p VIP. Na vitu ni mserereko.. nilikuwa nakuona unamletea ujuaji 😁
Ingawa nae mshamba tu na huu uzi wake
Wewe ni mshamba!Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
Hii hapa kijana wa kipare, ila me sishangai. Sijawahi kumuona mpare asiyependa kubishanaHuyo jamaa ni muongo, huwezi kustream kwa bando la 70k na ukajidai una stream labla awe anaangalia kipindi cha dkk 10 mara tano kwa mwezi na sio mpira, movie nk
Mm nmemuuliza kwa hiyo pesa unapata GB na kwa speed gani amenikimbia hajibu 😂
OK ww bando lako n sh ngapi kwa mwezi na unapata speed gnHii hapa kijana wa kipare, ila me sishangai. Sijawahi kumuona mpare asiyependa kubishana
Havitakusaidia chochote..OK ww bando lako n sh ngapi kwa mwezi na unapata speed gn
😀😀 nikawa nawaza wewe jamaa msitarabu sana nikakupa credit. Nikawa najiwazia kwamba mbona wadau wanakoment harsh na unajib kistarabu tu na uzi unaendelea. Hahha kumbe vilikuwa bado vunavurugana kuanzia tumboni kupanda kichwani, naona sasa umeamua kutema utu na kuwa kifutuNa stream makalio yako
Hii google fawanews kuikuza kwenye screen ijae ndo mtitiNunua cromecast au android tv box haizidi 150k. Ukishakuwa nayo hiyo na Internet ya uhakika utasahau ving'amuzi. Pia google fawanews utakutana na game zote duniani ikiwemo league ya bongo.
Mimi nimeshang'oa DStv. Nachagua tu niangalie nini kwa wakati gani.
Bando kiasi gani unatumia kwa Mwaka kustream Internet kwenye hio TV yako?Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao