Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

Kwa nchi hii iliyojaa walaaniwa maccm king'amuz ni lazma kwan mtandao wnyw tu wa kupga na kupokea cm, sms ni tizi sembuse data kuwa hewan tena kwa 4g tu haieleweki kuna miji ukienda tn mjini kbs kuna mahali ukienda internet haisomi hayo mambo yanawezekana kwa nchi za weupe si africa kwa majitu majiz jiz yanayoua raia ili yapate madaraka halafu yanajdai mazalendo kumbe uzalendo wa wao waibe wanufaike na family zao halafu mmbaki kwny rindi la umaskini, yanaimba amani amani kumbe aman ya wao kuwa na utulivu wa kufisadi kodi na raslimali za taifa ksha yakae yakila kwa amani..hayo mambo ni mazuri kwa nchi zny wifi kila sehemu, na ndo maana wanazo mpk cm zisizotumia line ni wifi tu...
 
Wengi sana tu jamani tucheki ukiwa unahitaji Internet ya Uhakika tutayamaliza kwa bei ya kitanzania sana +255 741 801 801 One_TechTz
 
Mkuu we upo kama mimi, mi pia nina LG siwezi kuwa na ma android TV hayo, na pia mimi huwa nacheza games via ps5, hayo ma android Tv kupata 4k native, na 120fps ni uongo...wanaokubeza ni vile wao ilimradi wana TV inch flani basi, hawajali quality na ndo wengi wao wako hivyo
 
[mention]Troll JF [/mention]
 
Ving'amuzi umuhimu wake ni kama kipindi cha lockdown, ila internet ikiwepo vinakua mzigo. Local content kama za Azam ni za kiswahili (kiswazi) sana. Kama ni soka basi utaangalia fawanews, habari karibu kila stesheni za bongo zinaruka live youtube
Makala ,interviews hawarushi Youtubes! Streaming kwa watu wa movies ila sisi wa local contents tunapenda Ving'amuzi(Visimbusi).
 
Mkuu we upo kama mimi, mi pia nina LG siwezi kuwa na ma android TV hayo, na pia mimi huwa nacheza games via ps5, hayo ma android Tv kupata 4k native, na 120fps ni uongo...wanaokubeza ni vile wao ilimradi wana TV inch flani basi, hawajali quality na ndo wengi wao wako hivyo
Sasa hivi ni mwendo wa google TV. Kuwa na TV inayokulimit kwa nyakati hizi ni kujikosesha starehe. Hebu angalia specs za TCL 65C655 upate truly rejoice ya kuwa na TV ya kisasa
 
Makala ,interviews hawarushi Youtubes! Streaming kwa watu wa movies ila sisi wa local contents tunapenda Ving'amuzi(Visimbusi).
Makala (documentary) na mahojiano yapo ambayo hayapo kwenye intaneti? Kuna app inaitwa onstream OnStream – Watch Free Movies & TV Shows in HD on any device. hii inakubali kwenye simu na tv za android/google, ina kila kitu mkuu, documentary, movies , tv shows nk. Kuna app inaitwa plex, hiyo ina live tv kibao, zinazoonesha cartoon nk

Kwenye tv (ving'amuzi) unalazimishwa vipindi vya kutazama, kwenye smart tv (internet) unachagua nini cha kuangalia. Unaweza kuwa old school ukawawekea watoto katuni zisizo na ushoga ambazo labda zilikuwa zinaoneshwa kwa tv enzi za utoto wako nk.

Kama ni mahojiano ya local content kina dudubaya, butiku na wengine..utayapata kwenye internet. Huwezi kumsikia kapteni Tesha, Polepole na wengine kwenye ving'amuzi
 
We jamaa jinga nichukue Android TV ili nipate nini???? Hayo mambo ya kuangalia mpira bure ni ya kwenu msiokua na Maisha mi nalipaga DSTV Premium ya mwaka mzima i enjoy it mi sehemu yoyote unayoikimbia kwa gharama mi ndo naikimbila
Huna unakili acha kutusi watu wapinimesema kuhusu kupata dstv bure, jaribu kujenga hoja zenye mashiko sio huo utoto wako
 
Sasa hivi ni mwendo wa google TV. Kuwa na TV inayokulimit kwa nyakati hizi ni kujikosesha starehe. Hebu angalia specs za TCL 65C655 upate truly rejoice ya kuwa na TV ya kisasa
Mkuu haina haja yakumsanua huyo acha ateseke na ulimbukeni
 
😀😀 nikawa nawaza wewe jamaa msitarabu sana nikakupa credit. Nikawa najiwazia kwamba mbona wadau wanakoment harsh na unajib kistarabu tu na uzi unaendelea. Hahha kumbe vilikuwa bado vunavurugana kuanzia tumboni kupanda kichwani, naona sasa umeamua kutema utu na kuwa kifutu
Dah,we jamaa wewe
 
Makala (documentary) na mahojiano yapo ambayo hayapo kwenye intaneti? Kuna app inaitwa onstream OnStream – Watch Free Movies & TV Shows in HD on any device. hii inakubali kwenye simu na tv za android/google, ina kila kitu mkuu, documentary, movies , tv shows nk. Kuna app inaitwa plex, hiyo ina live tv kibao, zinazoonesha cartoon nk

Kwenye tv (ving'amuzi) unalazimishwa vipindi vya kutazama, kwenye smart tv (internet) unachagua nini cha kuangalia. Unaweza kuwa old school ukawawekea watoto katuni zisizo na ushoga ambazo labda zilikuwa zinaoneshwa kwa tv enzi za utoto wako nk.

Kama ni mahojiano ya local content kina dudubaya, butiku na wengine..utayapata kwenye internet. Huwezi kumsikia kapteni Tesha, Polepole na wengine kwenye ving'amuzi
Nimekutolea mfano mimi napenda Programs za TLC channel 135 DSTV - eg Body Bizzare ,90 days to wed , 1000 lbs nipe streaming ambayo naweza kupata hiyo channels.
 
Mkuu, hiyo TLC ina app yake inaitwa TLC go app ila ina subscription (kama Netflix). Download na uinstall hiyo ufurahie unyama
 
Mbona jamaa kaongea point tu mnamkamia. Mtujibu dstv Ili uangalie Uefa shingapi na epl shingapi?
 
Back
Top Bottom