G
guest-1786390423
Guest
Yani uanze kuchungulia mpira kwenye simuKama una bando lisilo la mawazo simu yako unamaliza kila kitu.
Downlaod app inaitwa Cricfy Tv kwa ajili ya kuangalia mechi zote za ulaya, caf nk
Yani uanze kuchungulia mpira kwenye simuKama una bando lisilo la mawazo simu yako unamaliza kila kitu.
Downlaod app inaitwa Cricfy Tv kwa ajili ya kuangalia mechi zote za ulaya, caf nk
Haina limit ni unlimited
Mkuu hiyo wanaita data cup, lakini ni kama GB 100 hivi kwa siku ambapo kikawaida huwezi kuzitumia mpaka kufika huko. Sasa ukiwa sio addict wa mtandao huwezi kutumia 100gb kwa siku, kila siku ukawa unafikisha hizo GB, kwa kustream tu movie na apps za kawaida.Huwa zinakuwa unlimited in GBs but wanazifanya kwamba ukitumia GB kadhaa speed inashuka ili kupambana na congestion....
Mitandao yote unayoona inasema ina 5G, bado wanatumia infrastructure zile zile za 4G...
Ukitaka ufurahie unlimited kila kitu, nunua internet kwa makampuni yanayotoa huduma kwa Fiber...