Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

Then kwa hii bei unalipia 10mbps, wewe streaming ya 4K content itakusumbua uishie kwenye HD tu ambayo ndio iko DStv.
Huyo jamaa ni muongo, huwezi kustream kwa bando la 70k na ukajidai una stream labla awe anaangalia kipindi cha dkk 10 mara tano kwa mwezi na sio mpira, movie nk

Mm nmemuuliza kwa hiyo pesa unapata GB na kwa speed gani amenikimbia hajibu 😂
 
Unajua kwa post yake hii hana hela kiviile, so hawezi kuwa anaishi sehemu ambayo ina fiber 😂

Atakuwa anaishi Mbondole, kwa Tumbo na maeneo kama hayo. Sasa kwa hiyo 10mbps tofauti yake na wenye decoder hata sio kubwa. Bora angesema analipia laki ningejua anapata 20mbps hapo sawa anakuwa hana latency.
 
Labla tumuulize hilo bando la 70k anatumia ku-stream kitu gani, usikute mwenzetu anaangalia video za ngono online afu anakuja kutamba ana-stream 😂
 
Unajua kwa post yake hii hana hela kiviile, so hawezi kuwa anaishi sehemu ambayo ina fiber 😂

Atakuwa anaishi Mbondole, kwa Tumbo na maeneo kama hayo. Sasa kwa hiyo 10mbps tofauti yake na wenye decoder hata sio kubwa. Bora angesema analipia laki ningejua anapata 20mbps hapo sawa anakuwa hana latency.
Wapi nimesema nina hela? We ni mpumbavu mtu kustream ndio kua na hela? Akili ya kifukara sana.
 
Kama una bando lisilo la mawazo simu yako unamaliza kila kitu.

Downlaod app inaitwa Cricfy Tv kwa ajili ya kuangalia mechi zote za ulaya, caf nk
Hii Tv mbona siipati mkuu?
 
Kama umewahi tumia king'amuzi then ukaanza streaming ya mpira ndio utajua uzuri wa king'amuzi unakuja wapi. Ila kama ulianzia kwa streaming basi huwezi elewa.
Ndio maana hizo streaming zilinishinda. Netflix plus dstv inanitosha.
 
Back
Top Bottom