Huwa zinakuwa unlimited in GBs but wanazifanya kwamba ukitumia GB kadhaa speed inashuka ili kupambana na congestion....
Mitandao yote unayoona inasema ina 5G, bado wanatumia infrastructure zile zile za 4G...
Ukitaka ufurahie unlimited kila kitu, nunua internet kwa makampuni yanayotoa huduma kwa Fiber...