mpk namalizana na kule muda ulikuwa umeenda nitakutafuta kesho inshaAllahYaani hazirudi tena.
Halafu ndo nini siku ile mbona hukunirudia tena. Nakutegemea ujue na nyie ndo wana Darisalama sisi wengine tunawasindikiza tu. 🤣🤣
Yaan shangazi napenda ubuyu hatarii, [emoji23][emoji23][emoji23]Mpenda ubuyu sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mmekumbuka vibibi vyenu [emoji81][emoji81]
Nyie tuna habari zenu mlikuwa mnagongana hovyo hovyo bila kificho..!!
Na hizo party zenu ni kugusa tu [emoji81]
Hehehe, uko na chuma kikali siku hizi, penzi liko shanta shanta.Hiyo mali mpya naitoa wapi mimi?
WananisingiziaHehehe, uko na chuma kikali siku hizi, penzi liko shanta shanta.
Yaan wee wa kunisusa mie, ? Haya bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 umenichekesha sana
Nkamu kwa hiyo uliacha kuvaa socks😂
Aaah wapii!! uko sehemu salama siku hizi mwanetu.Wananisingizia
Hapana mahali salama ni hapaaAaah wapii!! uko sehemu salama siku hizi mwanetu.
Unafaudu tyuuh 😂😂😂
Huyu Binti wa zamani siyo Money Penny kweli uandishi na content zinafanana.Kapeace
Miss natafuta
Money penny
Madam
Hapa wapii?Hapana mahali salama ni hapaa
Kwako mlongoHapa wapii?
[emoji23][emoji23][emoji23] muongo wewee,Kwako mlongo
Umekua adimu, kusini wanasemaje ?abee
Jana na leo
huku baridi hadi cm zinaganda kuingia jfUmekua adimu, kusini wanasemaje ?
Miss you alot aiseeeJana na leo
Mambo vipi? bado napenda JF ila muda tu Sina. Majukumu yamezidi.... lol 😊