Hili ni swali gumu sana,hata mkuu mwenyewe halijui.Hao wasaidizi walijiweka wenyewe? Au amelazimishwa kuwa nao?
Walimu wengi mshukuru kuwa katika ajira,mfumo wa ovyo wa miaka mingi kuwaajiri waliofanya vibaya olevel na STD 7 yaani walimu wa upe.kazi yenu kubwa ni kuwapa majibu ya mitihani watoto.mishahara yenu kulingana na jitihada zenu mlipokuwa shuleni mnasoma na hata kwa elimu mnayotoa kwa watoto kwenye shule za serikali ni zaidi mlichostahili.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hivi mkuu huwa mnapelekaga malalamiko yenu wizara ya elimu, na kama mnawapelekea majibu huwa yanakuaje, maana sasa imekua ni mzizi wa matatizo ulio komaaaMishahara yetu duni... Tumekubali
Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali
Madaraja hatupandi.. Tumekubali
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?
Hivi Ualimu ni laana?
An OATH ought not to be INFRINGED... and if that happens.. Of the two sides.. The lamenter of whom she/he feels not well treated as per the OATH...Mitihani kuibiwa haimaanishi kuwa NECTA siyo chombo Cha heshima.Kwani kwako ukiibiwa na majambazi,Basi unakuwa huna heshima?
Umeelewa Kama bado na mshahara hautoshi acha kazi ujiajiri.Hoja yako ni ipi?Tulia uandike vizuri,hoja ieleweke.
Unclear,Re-write.An OATH ought not to be INFRINGED... and if that happens.. Of the two sides.. The lamenter of whom she/he feels not well treated as per the OATH...
HAS THE TO QUESTION OF THAT INFRINGEMENT WHEREVER POSSIBLE.
It what this thread is all about...
Na kwa nini usitumie lugha ya kiswahili.Au wewe kiswahili hufahamu?Au ili uonekane unajua lazima utumie kimombo?Unclear,Re-write.
Mkuu ukipeleka unakuwa noted...Hivi mkuu huwa mnapelekaga malalamiko yenu wizara ya elimu, na kama mnawapelekea majibu huwa yanakuaje, maana sasa imekua ni mzizi wa matatizo ulio komaaa
Sema baba yako wewe.....huyu kwangu ni Rais....Baba yetu ni msikivu.Naimani kabisa yeye hili halijui.Kama kweli halijui naamini kupitia hapa atajua.Naakijua naamini siku ya Leo haitapita kilio chenu atajibu.
Naamini kabisa kazi hii ni ya siri na heshima yake.Malalamiko kama haya hakika hayapaswi yaonekane hapa kutokana na unyeti wa Jambo lenyewe.Baraza la Mitihani ni chombo cha Heshima sana,naamini watashughulikia kilio cha watu wao hawa mapema.
Baba naomba wasikilize vijana wako.
Asante
Na kwa nini usitumie lugha ya kiswahili.Au wewe kiswahili hufahamu?Au ili uonekane unajua lazima utumie kimombo?Unclear,Re-write.
Muwe mnaandaa vichwa vyenu vizuri kabla ya kuja humu.Siyo lazima kila uzi uchangie.Umeelewa Kama bado na mshahara hautoshi acha kazi ujiajiri.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Umesema kweli mkuu.Baba yetu ni msikivu.Naimani kabisa yeye hili halijui.Kama kweli halijui naamini kupitia hapa atajua.Naakijua naamini siku ya Leo haitapita kilio chenu atajibu.
Naamini kabisa kazi hii ni ya siri na heshima yake.Malalamiko kama haya hakika hayapaswi yaonekane hapa kutokana na unyeti wa Jambo lenyewe.Baraza la Mitihani ni chombo cha Heshima sana,naamini watashughulikia kilio cha watu wao hawa mapema.
Baba naomba wasikilize vijana wako.
Asante
Mishahara yetu duni... Tumekubali
Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali
Madaraja hatupandi.. Tumekubali
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?
Hivi Ualimu ni laana?
Acheni kulialia ninyi walimu mnakera sana basi kajifungieni makwenu mlieeee msituletee unyonge wenu humu kilasiku!! Hivi hamna chama? Simuandamane mpaka ofisi za CWT(chama cha wadekao tz) kaposho kenu mtapewa,kwanza kusahihisha niwajibu wenu hata msipolipwa!! pesa ya serikali hutolewa kiutaratibu njaa inawapigaa na uchaguzi mlisimamia why??Mishahara yetu duni... Tumekubali
Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali
Madaraja hatupandi.. Tumekubali
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?
Hivi Ualimu ni laana?
Kama mwalimu mwenyewe unaandika "hawamu" kazi ipoTumedharauliwA mnoo hawamu hii... Haijawahi tokea..
Uimbaji wa mapambio umepitwa na muda badilini staili ya uimbaji mtasikika tuu.Mishahara yetu duni... Tumekubali
Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali
Madaraja hatupandi.. Tumekubali
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?
Hivi Ualimu ni laana?
Jamani, nafikiri lengo la mleta mada hii kwa wana jamii ni kupata mawazo na hata faraja kama mwana jamii. Nimesoma komenti nyingi zinakosa japo neno la faraja. Tukumbuke kuwa ualimu ni kazi ya heshima. Popote ukimtaja mtaalamu wa aina yeyote ni sharti awe amefundishwa na mwalimu. Ni vema ikiwa tutawaheshimu waalimu na kusikitika nao pale haki zao zinapokosekana. Niwape pole waalimu kwa kukosa stahiki zao kwa wakati. Niwatie moyo kwamba msikate tamaa. Fuatilieni madai yenu kwa utaratibu uliopo kwani serikali ni sikivu wakati wote. Ukiona usiku umeendelea jua mchana nao pia waja.Respect kwa wapumbavu my foot walimu ni wapumbavu we huoni walikuwa wanachapwa fimbo? Narudia Tena walimu ni wapumbavu.ushaona manesi au madaktari wakichapwa fimbo?