Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Jamaa kammind mlinziHii Ni nchi ya hovyo yaani mnawaonea wivu mpaka walinzi
Hahaaa, wakuache mkuu, wanakuonea wivu,Tuacheni
Ahahaha ndio mkuu..Hahaaa, wakuache mkuu, wanakuonea wivu,
Nakula kwa urefu wa kamba yangu ila siachi ushahidi..Leo jioni nimepita sokoni kuchukua maitaji ya nyumbani nikafika soko moja kubwa lakini nikajiuliza jinsi biashara za sokoni zilivyo zipo wazi mfano matunda,mchele,viungo na n.k .wa wakati wa kufunga wanabakishwa walinzi kulinda soko ili wezi wasije kuiba mali za wanasoko.
swali la kujiuliza wao uwa wana nunua maitaji au ndo wanakuwa usiku kama wapo supermarket wakizunguka kujichukulia.