Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

Leo jioni nimepita sokoni kuchukua maitaji ya nyumbani nikafika soko moja kubwa lakini nikajiuliza jinsi biashara za sokoni zilivyo zipo wazi mfano matunda,mchele,viungo na n.k .wa wakati wa kufunga wanabakishwa walinzi kulinda soko ili wezi wasije kuiba mali za wanasoko.

swali la kujiuliza wao uwa wana nunua maitaji au ndo wanakuwa usiku kama wapo supermarket wakizunguka kujichukulia.
Chief,,,Kila mtu anakula kazini kwake
 
Hawana tofauti na wapishi wa taasisi kubwa na makarani na wasimamizi wa masoko.Kusumbuliwa na njaa kwa hao jamaa wawe wamejitakia tu.
 
Leo jioni nimepita sokoni kuchukua maitaji ya nyumbani nikafika soko moja kubwa lakini nikajiuliza jinsi biashara za sokoni zilivyo zipo wazi mfano matunda,mchele,viungo na n.k .wa wakati wa kufunga wanabakishwa walinzi kulinda soko ili wezi wasije kuiba mali za wanasoko.

swali la kujiuliza wao uwa wana nunua maitaji au ndo wanakuwa usiku kama wapo supermarket wakizunguka kujichukulia.
Tafuta hela uachane na utaratibu wa kwenda sokoni.
 
Back
Top Bottom