Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

Leo jioni nimepita sokoni kuchukua maitaji ya nyumbani nikafika soko moja kubwa lakini nikajiuliza jinsi biashara za sokoni zilivyo zipo wazi mfano matunda,mchele,viungo na n.k .wa wakati wa kufunga wanabakishwa walinzi kulinda soko ili wezi wasije kuiba mali za wanasoko.

swali la kujiuliza wao uwa wana nunua maitaji au ndo wanakuwa usiku kama wapo supermarket wakizunguka kujichukulia.
😂kuna sehemu sokoni nlipita asubuhi mama mmoja akawa analalamika kila siku anaibiwa Ndizi zake!
 
Leo jioni nimepita sokoni kuchukua maitaji ya nyumbani nikafika soko moja kubwa lakini nikajiuliza jinsi biashara za sokoni zilivyo zipo wazi mfano matunda,mchele,viungo na n.k .wa wakati wa kufunga wanabakishwa walinzi kulinda soko ili wezi wasije kuiba mali za wanasoko.

swali la kujiuliza wao uwa wana nunua maitaji au ndo wanakuwa usiku kama wapo supermarket wakizunguka kujichukulia.
We kweli kaka washetani unataka kuwaharibia watu ugali wao
 
Back
Top Bottom