MIRABEL CRAWLY
Member
- Jan 31, 2022
- 97
- 299
Kwamba muda wa sokoni ni jioni tu? Au una maana ganiIlikuaje ukapita sokoni asubuhi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba muda wa sokoni ni jioni tu? Au una maana ganiIlikuaje ukapita sokoni asubuhi mkuu
Ndio ni jioni au mchana....tu hiyo ni sheria pia ..Kwamba muda wa sokoni ni jioni tu? Au una maana gani
Acha kutuharibia mkuu...Leo jioni nimepita sokoni kuchukua maitaji ya nyumbani nikafika soko moja kubwa lakini nikajiuliza jinsi biashara za sokoni zilivyo zipo wazi mfano matunda,mchele,viungo na n.k .wa wakati wa kufunga wanabakishwa walinzi kulinda soko ili wezi wasije kuiba mali za wanasoko.
swali la kujiuliza wao uwa wana nunua maitaji au ndo wanakuwa usiku kama wapo supermarket wakizunguka kujichukulia.
Hawanunui mkuu, pia kuna wanaobeba mizigo ya magenge kutoka sokoni,
😂😂kwani unaishi wapi boss?? Kwahyo mtu akitaka kupika asubiri hadi jioni! Afu inaonekana masoko yenu wameridhika na maisha hadi wanafungua mchana!Ndio ni jioni au mchana....tu hiyo ni sheria pia ..
Ndo mana nimekushangaa wewe unaposema ulipita asubuhi mkuu
Au nikuulize labda asubuhi ni kuanzia muda gani hadi muda gani???Ndio ni jioni au mchana....tu hiyo ni sheria pia ..
Ndo mana nimekushangaa wewe unaposema ulipita asubuhi mkuu
Mkuu labda na mimi nikuulize tuu..😂😂kwani unaishi wapi boss?? Kwahyo mtu akitaka kupika asubiri hadi jioni! Afu inaonekana masoko yenu wameridhika na maisha hadi wanafungua mchana!
Sa 12-asubhi mpaka saa 5asbhiAu nikuulize labda asubuhi ni kuanzia muda gani hadi muda gani???
Naona unawaza ni saa kumi na mbili asubuhi tu
Kwahyo unahisi na me nipo mbagala kama weweee!Mkuu labda na mimi nikuulize tuu..
Ushawahi kuona mtu anaenda sokoni asubuhi...?
Nipp mbagala mkuu
Ahahahahha mi mlinzi wa sokoni hivo naelewa kila kitu...Kwahyo unahisi na me nipo mbagala kama weweee!
Afu nabishana na mwanaume sasa ambaye hata sokoni haendi😁😁 amezoea kijiweni vya sokoni atavijuaje
Hatupigi ila tunachukua na wenyewe wanajua tunachofanya....Nikupe ukweli mchungu Mkuu!
Nina binamu yangu ni mlinzi wa soko moja maarufu sana hapa Mwanza! Sijui huwa anatoa wapi hizi nafaka ana matunda pamoja na bidhaa zingine ila huwa ananiletea vyakula vya kutosha kutoka sokoni haswa nyakati za saa 12 kasoro asubuhi!
Kijana alianza kazi mwaka jana ila sasa hivi amefungua na yeye kibanda chake cha kuuzia nafaka nje kidogo ya soko kama mtaa wa nne hivi.
JIBU JEPESI NI KUWA "WALINZI WANAPIGA HUMO HUMO!"
Hata me Naona Unalinda na masoko yote Tanzania?? Ayaa Mkuu wa walinziAhahahahha mi mlinzi wa sokoni hivo naelewa kila kitu...
Unajua umejua kunishangaza aiseee kweli sokoni asubuhi serious
Ahahahahha haya bana....Hata me Naona Unalinda na masoko yote Tanzania?? Ayaa Mkuu wa walinzi
Hatupigi ila tunachukua na wenyewe wanajua tunachofanya....
Nyanya moja haiwezi kufanya ufilisike mkuu ahaha
Lazima ushangae kama unakesha kulinda usiku! Watu wa asubuhi sokoni utawaonea wapiAhahahahha mi mlinzi wa sokoni hivo naelewa kila kitu...
Unajua umejua kunishangaza aiseee kweli sokoni asubuhi serious
Ahahahahha haya bana....
Daaah aiseee
Ishu hapa ni hii...Lazima ushangae kama unakesha kulinda usiku! Watu wa asubuhi sokoni utawaonea wapi
Mzee kwani sokoni hamna njia ya watu kupitia kuelekea kwenye Mishe zao uko dunia Gani mzeeIshu hapa ni hii...
Mi miaka yangu yote hapa sokoni sijawahi ona watu wakija asubhi yaani wateja asubuhi hapana nakataa hii.
Mahitaji ya sokoni yanafuatwa jioni...
Asubuhi sokoni unakuja kufanya nini...,,
Kitu gani cha kununua asubhi sokoni mkuu