Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

Acha kutuharibia mkuu...
 
Nikupe ukweli mchungu Mkuu!
Nina binamu yangu ni mlinzi wa soko moja maarufu sana hapa Mwanza! Sijui huwa anatoa wapi hizi nafaka ana matunda pamoja na bidhaa zingine ila huwa ananiletea vyakula vya kutosha kutoka sokoni haswa nyakati za saa 12 kasoro asubuhi!
Kijana alianza kazi mwaka jana ila sasa hivi amefungua na yeye kibanda chake cha kuuzia nafaka nje kidogo ya soko kama mtaa wa nne hivi.

JIBU JEPESI NI KUWA "WALINZI WANAPIGA HUMO HUMO!"
 
Hatupigi ila tunachukua na wenyewe wanajua tunachofanya....

Nyanya moja haiwezi kufanya ufilisike mkuu ahaha
 
Lazima ushangae kama unakesha kulinda usiku! Watu wa asubuhi sokoni utawaonea wapi
Ishu hapa ni hii...
Mi miaka yangu yote hapa sokoni sijawahi ona watu wakija asubhi yaani wateja asubuhi hapana nakataa hii.

Mahitaji ya sokoni yanafuatwa jioni...
Asubuhi sokoni unakuja kufanya nini...,,

Kitu gani cha kununua asubhi sokoni mkuu
 
Ishu hapa ni hii...
Mi miaka yangu yote hapa sokoni sijawahi ona watu wakija asubhi yaani wateja asubuhi hapana nakataa hii.

Mahitaji ya sokoni yanafuatwa jioni...
Asubuhi sokoni unakuja kufanya nini...,,

Kitu gani cha kununua asubhi sokoni mkuu
Mzee kwani sokoni hamna njia ya watu kupitia kuelekea kwenye Mishe zao uko dunia Gani mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…