Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

Jiulize wafanyakazi wa Tanesco au Dawasa wamekwisha wahi kununua umeme na maji?
 
Nilipomaliza tu kujibu natoka machinjioni mlangoni nikakutana na jamaa yangu mkaguzi wa nyama kabeba maini si akanipa pande moja la maini, moyo paa! Sikuamini kwani nilikuwa nasikia tu kuwa huwa anajichukulia.
 
Sasa ukitembea kwenye meza ishirini si tayari una tenga moja!
Nyie mbingu mtaisikia tu!
Hapana mbona na wenyewe wanajua kama tunafanya hiko kitendo japo hakuna change kubwa mana kinachofanyika pale ni slightly change ni ngumu sana ku detect kuna vitu ni uncountable ...

Mimi na akili yangu siwezi chukua kitu ambacho kitaleta mabadiliko pale sikoni
 
Huyu dogo kuna muda anakuja na ubuyu kilo nzima itakuwa anachukua sehemu hata kumi aisee
 
Huyu dogo kuna muda anakuja na ubuyu kilo nzima itakuwa anachukua sehemu hata kumi aisee
Kawaida sana mkuu...
Yaani kiufupi tunafaidi kingine wanakua wanatuamini maana sokoni kuna mambo ya kuchezeana sana hivo sio kwamba tunalinda physical tuu mpaka spiritually mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…