idiomer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 289
- 342
Kwanini mfano Shirika la nyumba lisiweke nyumba kwa ajili ya wanafunzi mfano kwa Dar es Salaam? Mwanafunzi anapanga nyumba sawa na mfanyakazi au mfanyabiashara Kariakooo?
Yaan Mwanafunzi anapanga karibu na danguro ? Hostel za magufuli zimeokoa maisha ya wanafunzi wengi kuongeza idadi ya wanafunzi wengi kumaliza vyuo.
Wengine wawe na mpango wa kusaidia hili. Kwani wakiweka ghorofa moja kwa ajili ya wanafunzi NHC watakosa nini ?
Mwanafunzi ni hadi chuo kikuu hapa kwetu mwisho F6 ? Kwanini???