Hivi wanafunzi wengi wanaopata ufaulu mkubwa, huwa wanakwenda wapi?

Mdogo wangu Kwa Sasa yupo Denimark
Naye alivunja rekodi Kwa ufaulu.
So sio rahisi kusikia wote
 
Baadhi wako nje ya nchi na wengine wako hapa wanasakata gurudumu la maisha.

Najua wawili wa form 4 ambao wako Marekani mmoja yupo Google na mwingine yupo Microsoft

Kuna mwingine wa form 4 pia yupo Dar yupo bank moja ya kimataifa.

Kuna mwingine wa form 6 ni daktari na anaendesha biashara za familia pia.
 
Hili swali hata mimi huwa najiuliza sana. [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Maisha ya darasani na mtaani ni tofauti; wapo wengine ni mafundi mabomba, walimu wa vyuo, waajiriwa, waliojiajiri n.k kwa ujumla hakuna kipya.

Ingekuwa vizuri, kama vitengo maalumu vya tafiti, vingewachukua na kufanya nao kazi; kuliko kuachia 'nature' ndio ifanye maamuzi.
 
Hao unaotaja ni ma-genius wala hawakwenda shule kihivyo. Na mara nyingi huwa ni college drop out. Wagunduzi wengi hata shule hawakwenda au wamesema kidogo sana. Wao wana lala na kuota vitu na kuviweka kwenye uhalisia.
 
This is naked whitch crafts,the aim of education is not to prepare someone to live but Education itself is Life, ulitaka utuone wapi?
 
Kupata ufaulu mkubwa haina maana ndio unaweza kuleta matokeo tofauti katika sekta ya elimu au kuwa na mawazo tofauti na waliopo.

Simply ni alama tu kubwa means ulifundishwa na ukafundishika hakuna kingine.
 
Nipo hapa mmojawapo

Serikal yako ilinipekeka pyon yong institute atomic bombs nikichukua bachelor of science in INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILES (ICMB) nilipofika mwaka wa saba serikal ikagoma kunilipia ada kwan had kugraduate n miaka tisa mkataba ulikuwa miaka 4 tu

Wameniacha huku sasa namsaidia kiduku kumodify zana zake Sina mpango wa kurud huko
 
Point sanaaa mkuuu, hao ni watu muhimu sana katika taifa letu
 
Point sanaaa mkuuu, hao ni watu muhimu sana
Duuuh! Uko na mambo ya nuclear! Hiyo Teknolojia tunaihitaji piaaa hukuuu kwetu mkuu
 
Kupata ufaulu mkubwa haina maana ndio unaweza kuleta matokeo tofauti katika sekta ya elimu au kuwa na mawazo tofauti na waliopo.

Simply ni alama tu kubwa means ulifundishwa na ukafundishika hakuna kingine.
Lakini ina depend na Intelligence Quotient IQ meaning wana uwezo mkubwa piaa......
 
Mkuu ukiona hivyo basi ujue kuwa mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana kwakua haumruhusu mtu kuwa mbunifu bali unamfanya apate ajira tu ya kawaida.

Hali ni mbaya zaidi kwa miaka ya karibuni kwani wanafunzi wamekuwa wanakaririshwa tu ili kujibu mitihani na shule zifanye biashara.

Tunapaswa tubadili mitaala yetu ili iwajenge wanafunzi katika kuitumia elimu yao nje ya mfumo wa ajira za kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…