The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Wewe unaishi wapi?.TukuchambueKuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo
5.tandale
6.Gongo la mboto
7.Mbagala
8.mwananyamala
9.Temeke
10.Buguruni
Unaweza kuwa baba/babu kumbe kubwa jinga maana unakua mwili bure ukazidiwa akili na pesa na mtoto wa 2012 mijitu mieusi bhanaUmezaliwa miaka ya 2000. Usipende kubishana na baba/babu zako.
We ni kubwa jinga nikionaga mtu yeyote anakimbilia umri mtandaoni najua tu huyo kakua mwili akili hana ndio kama wewe jiulize Kuna matajiri wangapi umewapita umri je wakikuambia huna akili kwakua umekosa pesa Kwa umri huo itakua sahihi jibu utalipata kama wewe ni kubwa jinga huna akiliBila shaka nafsi yako imefarijika baada ya kunitukana. Haya utulie sasa.
Anajifariji tu.Acha uongo wewe umaarufu sehemu inayonuka wapi na wapi
🤣🤣🤣Kwani nani anaamua location za Dar es salaam? Wewe limbukeni?
Mwambieni atembeeUmetaja kwa ujumla tuu kuna maeneo mazuri ya kuishi na yenye hadhi huko kote ulikotaj
Huna faida kubwa jinga umekua mwili akili hunaKaribu sana kwenye ignore list yangu.
Kwa hiyo wanao kaa kule wote hawana akili?Mtu mwenye akili tinamu hawezi kuishi hayo maeneo,bora some parts za magomeni na gongola mboto,kwingine ulikotaja hakukaliki
Tembea kijana bado hujalijua vizuri hili jijiMtu mwenye akili tinamu hawezi kuishi hayo maeneo,bora some parts za magomeni na gongola mboto,kwingine ulikotaja hakukaliki