Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Kuna mambo yanatosha kuitwa uhaini, kama kudharau wimbo wa taifa ama bendera ya taifa ni kosa la kukuweka behind bars iweje aliyekashifu katiba ni kijitabu tu. Madhaifu ya kiuungozi yaditifanye tukose kauri wakati wa kutoa hoja. Leo wakati nikipita mtandaoni nimekutana na kauli ya kuwa katiba ni kijitabu tu. Hivi Hawa watu wanajua bila Quran hakuna uislam na bila biblia hakuna ukiristo? Sasa hili la watu kusema katiba ni kijitabu Lina maana Gani?