Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Maendeleo yanaanza na watu wenyewe namna walivyo, katiba ni taratibu tu.Katiba yetu inasababisha ccm waitumie vibaya kugandaza wapinzani
Ukiwa tangu utotoni unafundishwa ubunifu basi utu uzimani utakuwa na faida kwenye jamii unayoishi, huhitaji sana kuongozwa na kanuni zinazoandikwa kwenye makaratasi.