Hivi Wanasayansi wa Nyuklia wa Iran wamekosea Nini kustahili kuuawa na Israel?

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.

Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.

Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
 
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutakua kumuua yeyote inaemtaka haipswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.

Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.

Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Mkuu kauli ya nchi ya Iran kuifuta Israel kwenye USO wa dunia. alafu aliyetamka kauli hiyo anataka kutengeneza mabomu ya nyukilia. Na anafadhil vikundi unavyopambana navyo. Je utamwacha tu ukikenua meno?.
Anachokifanya Russia kwa Ukraine
ndicho anachokifanya Israel kwa Iran
 
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.

Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.

Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.

SAWA TUOMBOLEZE KUWAKUMBUKA. INSHALLAH
 
Mkuu kauli ya nchi ya Iran kuifuta Israel kwenye USO wa dunia. alafu aliyetamka kauli hiyo anataka kutengeneza mabomu ya nyukilia. Na anafadhil vikundi unavyopambana navyo. Je utamwacha tu ukikenua meno?.
Anachokifanya Russia kwa Ukraine
ndicho anachokifanya Israel kwa Iran
Mleta uzi hajafanya homework ya kutosha. Iran kasema sio mara moja au mara 2, kaapa sio mara moja sio mara 2 lakini hata chanzo cha hi vita ya Israel na Gaza/Hamas ni same Iran ndio kachochea; yaani anaweza ku supply silaha kwa vikundi vya uasi kama Hamas, Hezbollah na Houthis ili tu Israel ishambuliwe. Israel na uongozi wao watakua watu wa ajabu sana kama watakaa kimya bila kuchukua hatua dhidi ya mfadhiri mkuu. Iran sio tajiri kumzidi Saudia, Kuwait, Qatar, UAE why only him ndio ana supply silaha na mafunzo kwa waasi? Akiwa na nuclear atashindwa nini kuwapa kina Hezbollah, Hamas same weapons?
 
Kabisa mkuu shida watu wengi awaelewi kwanini Iran iwe tagert kuu ya Israel. Hawafanyi tafiti
 
Mkuu kauli ya nchi ya Iran kuifuta Israel kwenye USO wa dunia. alafu aliyetamka kauli hiyo anataka kutengeneza mabomu ya nyukilia. Na anafadhil vikundi unavyopambana navyo. Je utamwacha tu ukikenua meno?.
Anachokifanya Russia kwa Ukraine
ndicho anachokifanya Israel kwa Iran
Hiyo kauli imekuja baada ya Israel kuendeleza ushenzi wake wa kuuwa watu hasa wapalestina na wairan wanaotetea taifa la palestina wasiyo na hatia na ubabe wa kipumbavu
 
Mleta uzi hajafanya homework ya kutosha. Iran kasema sio mara moja au mara 2, kaapa sio mara moja sio mara 2 lakini hata chanzo cha hi vita ya Israel na Gaza/Hamas ni same Iran ndio kachochea; yaani anaweza ku supply silaha kwa vikundi vya uasi kama Hamas, Hezbollah na Houthis ili tu Israel ishambuliwe. Israel na uongozi wao watakua watu wa ajabu sana kama watakaa kimya bila kuchukua hatua dhidi ya mfadhiri mkuu. Iran sio tajiri kumzidi Saudia, Kuwait, Qatar, UAE why only him ndio ana supply silaha na mafunzo kwa waasi? Akiwa na nuclear atashindwa nini kuwapa kina Hezbollah, Hamas same weapons?
Kuna shida yeyote Iran kuwasaidia wapalestina wapate Uhuru wa nchi Yao? Nadhani wewe ndio ufanye homework vizuri kujua kwanini wapalestina wananyimwa Haki Yao ya kuwa na taifa huru.
 
Ni kama wewe hapo nyumbani kwako jirani yako akupangie kuwa usifuge mbwa kwakua watamzuia kuja kukuchokoza na ukikataa aje kuua watoto wako ndo alichofanya Israel , sasa ndani ya masaa 72 kilichomkuta tunaona kanchi kao kameanza kufanana na Gaza, alafu anajitokeza tena kwenye vyombo vya habari kulalamika kama anaonewa
 
Lini Palestians wamekua na uongozi wao since dunia kuumbwa? Go and re-do your homework bro. Historia ipo wazi mno ya mambo haya.
 
Israel ana nucs.lkn haijawahi kutishia kumpiga yeyote

Lkn ayatolah kila siku akiwa msikitin anaapa kuiangamiza israel akimiliki nucs

Utaona kabisa kuna watu wanastahili kuongozwa sio kuongoza
Huu ndio upuuzi ambao inatakiwa kupigwa vita. Kwa taarifa Yako hata Tanzania Leo hii haturuhusiwi kuwa na silaha za Nuklia. Je sisi tuna mtishia nani?
 
Ni kama wewe hapo nyumbani kwako jirani yako akupangie kuwa usifuge mbwa kwakua watamzuia kuja kukuchokoza na ukikataa aje kuua watoto wako ndo alichofanya Israel , sasa ndani ya masaa 72 kilichomkuta tunaona kanchi kao kameanza kufanana na Gaza, alafu anajitokeza tena kwenye vyombo vya habari kulalamika kama anaonewa
Apigwe tu
 
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.

Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.

Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
hakuna nchi yenye haki ya kufuta uwepo wa taifa lingine hii kauli Iran ametamka sana pia Iran amekuwa akisaidia vikundi vyenye itikadi kali kuishambulia israel
 
Back
Top Bottom